TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.

Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri zitakavyopatikana.

View attachment 2632805
Joel Misesemo enzi za uhai wake​

=====

Kijana asiyefahamika aliyekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amefariki baada ya kujirusha kutoka gorofa ya 15 katika jengo la Derm lililopo Makumbusho, Dar es Salaam.

UPDATE: Polisi yathibitisha aliyejiua, kufanya uchunguzi

POLISI: KAMERA ZIMEONESHA JOEL MISESEMO AKIJIRUSHA MAKUSUDI KUTOKA GHOROFA YA 7
Kufuatia tukio la kifo cha Joel Misesemo mwenye umri kati ya miaka 35 hadi 40, Mkazi wa Mwananyamala, Jeshi la Polisi limesema chanzo cha awali ni mhusika kujirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama.

Imeelezwa kuwa Joel alifika eneo hilo akiwa na gari aina ya Suzuki rangi ya silver (T142 DRM) na kuonekana katika jengo hilo Saa 11 Alfajiri ya Mei 23, 2023, akamwambia Mlinzi wa zamu kuwa anaenda kufanya ibada kwenye Msikiti uliopo ghorofa ya 15 ndani ya jengo hilo, muda mfupi baadaye alijirusha.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema kamera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya 7 kupitia dirishani na mwili wake umepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala kwa uchunguzi Zaidi
Kuna wanaosema jamaa alirushwa na watu wa usalama na wengine wanasema alikuwa anajichua akisahau kuwa alikuwa ghorofani, utamu ulipomzidia akaanguka na wengine wanasema alitaka kujiua ili akakutane na Yesu mbinguni.
 
Joel nilimfahamu kupitia rafiki yangu, tulikua tunaonana kanisani DPC kinondoni, familia ya kina Joel wote walikua wanasali hapo na baba yao alikua mchungaji kama sikosei anaitwa Pastor Chizii..

Joel alikua mtu fulani humble na mcheshi mnoo, walikua wanaishi mwananyamala, nakumbuka badae Joel akaoa, akaenda na kusoma degree ya social work chuo cha ustawi pale..
Sijui nini kimemkuta kwa kweli hadi kufikia hatua ya kujifanyia ukatili huo..
 
Huyo itakuwa kakamatwa ugoni na mke wa mtu wahuni wakamwadhibu Kwa style hyo
 
Joel nilimfahamu kupitia rafiki yangu, tulikua tunaonana kanisani DPC kinondoni, familia ya kina Joel wote walikua wanasali hapo na baba yao alikua mchungaji kama sikosei anaitwa Pastor Chizii..

Joel alikua mtu fulani humble na mcheshi mnoo, walikua wanaishi mwananyamala, nakumbuka badae Joel akaoa, akaenda na kusoma degree ya social work chuo cha ustawi pale..
Sijui nini kimemkuta kwa kweli hadi kufikia hatua ya kujifanyia ukatili huo..
Ukweli anaujua mwenyewe

KIFO HAKIKOSI SABABU

Ova
 
Screenshot_20230524_025629_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20230524_025750_Samsung Internet.jpg
 
Mwaka Jana kuna kijana aliwahi kujiua pembeni na hilo Jengo alikua mkaanga chips jpili inayofuata mchungaji kimaro akamtetea sana kua anamjua na alikua mtu poa ila sijui nini kilitokea baadae mchungaji kimaro akamgeuka Vibaya sana marehemu. Usikute wameamia apo. Nkipata thread iliyoongelea swala hilo ntaieka
Tena ukiileta iwekee special request kwa mod iwe linked na hii habari
 
Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.

Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri zitakavyopatikana.

View attachment 2632805
Joel Misesemo enzi za uhai wake​

=====

Kijana asiyefahamika aliyekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amefariki baada ya kujirusha kutoka gorofa ya 15 katika jengo la Derm lililopo Makumbusho, Dar es Salaam.

UPDATE: Polisi yathibitisha aliyejiua, kufanya uchunguzi

POLISI: KAMERA ZIMEONESHA JOEL MISESEMO AKIJIRUSHA MAKUSUDI KUTOKA GHOROFA YA 7
Kufuatia tukio la kifo cha Joel Misesemo mwenye umri kati ya miaka 35 hadi 40, Mkazi wa Mwananyamala, Jeshi la Polisi limesema chanzo cha awali ni mhusika kujirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama.

Imeelezwa kuwa Joel alifika eneo hilo akiwa na gari aina ya Suzuki rangi ya silver (T142 DRM) na kuonekana katika jengo hilo Saa 11 Alfajiri ya Mei 23, 2023, akamwambia Mlinzi wa zamu kuwa anaenda kufanya ibada kwenye Msikiti uliopo ghorofa ya 15 ndani ya jengo hilo, muda mfupi baadaye alijirusha.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema kamera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya 7 kupitia dirishani na mwili wake umepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala kwa uchunguzi Zaidi
Yaani kweli huyu ndiyo alikuwa anajichua ghorofani mpaka umauti kumkuta, siamini kabisa. Huyu atakuwa kauliwa tu na watu wa usalama, punyeto wanamsingizia tu.
 
Mwaka Jana kuna kijana aliwahi kujiua pembeni na hilo Jengo alikua mkaanga chips jpili inayofuata mchungaji kimaro akamtetea sana kua anamjua na alikua mtu poa ila sijui nini kilitokea baadae mchungaji kimaro akamgeuka Vibaya sana marehemu. Usikute wameamia apo. Nkipata thread iliyoongelea swala hilo ntaieka
Yule aliuwawa
 
Back
Top Bottom