TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar


All I am trying to say it takes time, na hawa Wazungu mnawaabudu kwa kila jambo kama SI unit, nimewafaham kwa personal level, ni watu wa hovyo tu kama kawaida.
 
Wazungu wakisema hatuna akili tusikatae tangu saa 11 mpaka saa 2 mnauangalia tu? Hamna vituo vya polisi? hospital?
Wewe vipi wewe? Mtu kajirusha kafa ungekuwa wewe eneo la tukio ungemgusa?

Tukio kama hilo unawaachia wahusika. Wewe mpita njia sanasana unachoweza kufanya ni kutoa taarifa tu kwa wahusika.

Unaweza ukagusa ukaharibu ushahidi au kujitia matatani.

Wahusika namba moja ni mwenye eneo ambapo tukio limetokea. Huyo ndo anayetakiwa haswa kupiga simu Polisi kutoa taarifa.

Mhusika namba mbili ni Jeshi la Polisi.

Hao wawili ndo wanamaliza shoo yote.

Kama wewe sio mmoja kati ya hao wawili endelea na shughuli zako.
 
Ndio nkaongelea why tangu saa 11 wahusika hawonyeshi juhudi na kuwahi kudeal na tukio?
My point was namna walivyorespond.polisi masaa manne kituo kimefungwa?
Wakiibiwaga pia ama kuvamiwa kwenye enwo lao pia wanakuwa hivohivo?

Sijaongelea mtu kumnyanyua ama la..bali response ya wahusika imenikwaza.
Sijui umenielewa?
 
All I am trying to say it takes time, na hawa Wazungu mnawaabudu kwa kila jambo kama SI unit, nimewafaham kwa personal level, ni watu wa hovyo tu kama kawaida.
Ila naona wenzetu wako very responsive kwenye matukio.nyumba ikiungua dakika chache gari hilo linazima..nnachoona ni kama wamestaarabika kiasi sie tumeshindwa.
 
Lilikuwa sio jambo la dharura ndo maana. Mtu keshakufa. Na hakukuwa na jambo la dharura lililokuwa linaendelea kutokana na kifo hicho.

Wanasemaga ukitaka Polisi waje haraka eneo la tukio wapigia simu waambie, "Nimeua mtu hapa!"
 
U
Niki zoom Taasisi moja iloyo Jirani hapo na hili Tukio nalazimika Kuamini kuwa huyo Mtu hakijirusha bali alirushwa kwa sababu za Kumnyamazisha au alikuwa na Uadui na Mteuwaji Mkuu hivyo Watu wa Mfumo wameamua Kumuondoa kwa Mbinu hiyo.
Unataka kusemaje mkuu.kua bwana mc sio mc tu Kuna protokali za kazi yake tusioijua amezivunja
 
Sasa kama ana mpaka Suzuki RAV4 huyo wa kijijini nae afanye nini? Tujifunze kuridhika kama ni kweli ugumu wa maisha ndio sababu yake..ila hao wengi huwa ni michakato yao ya utafutaji ndio huwafikisha hapo.
Huko daslamu vijana Mambo yakiwashinda washaurini warudi vijijini tu,Sio wajiue

Mbona kijijini maisha safi kabisa huku,watu tunalima,tunakula ugali,mihogo,maharage bila stress
 
upo sahihi kwa 100% mkuu. namfahamu vizuri Joel
 
Hakuna haja ya kufanya dhihaka haya mambo yana siri kubwa kuna issue ya depression huwezi kujuwa kuna wakati mtu haongei na mtu kuna kampeni kubwa duniani kuhusu haya mambo nakumbuka ile story ya Gary Speed mchezaji/Manager alikuwa na mafanikio makubwa tu lakini ghafla akakutwa kajinyonga garage na uchunguzi ulifanyika hakuna foul yoyote kumbe depression. Na hata hapa kwetu yapo sana sasa bila kuhitimisha nini kilimsibu ni vizuri tukasikia uchunguzi sababu issue kama hizi tumeona sana.
 
Hawa wanaofanya izo shughuli za life coaching na ue mc mjini wengi ni vipepeo.huyu mtu kuna vitu vingi nyuma ya kifo.chake
 
Ghost office of ........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…