TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

Daah ila haya maishaa mtu anapark chini gari anapanda gorofani kwenda kujirusha afe... MC sijui nini kimemkutaa ila kama hajaacha hata barua kiukweli inaumizaa sana.
Sijui ni kweli 😅😅👆👆
 
Jana nimetazama video ya jamaa anatoa ushuhuda nikamtilia mashaka kwasababu kila baada ya neno utasikia "alikuja kumwomba mwenyezi Mungu" yaani neno "mwenyezi Mungu" alilirudia sana na hata usoni mwake akiwa anaongea ni mashaka matupu.
 
Rafiki yake Sam Sasali alikuwa anaongea hapa clouds 360,kwamba mshikaji alikuwa anapitia changamoto flan za maisha,alishazingumza na rafiki zake ni kama alikuwa na madeni hivi
 
Jana nimetazama video ya jamaa anatoa ushuhuda nikamtilia mashaka kwasababu kila baada ya neno utasikia "alikuja kumwomba mwenyezi Mungu" yaani neno "mwenyezi Mungu" alilirudia sana na hata usoni mwake akiwa anaongea ni mashaka matupu.
Yule ni mwenyekiti wa mtaa ule kama sikosei.

Najiuliza, yeye alikuwa wapi muda huo?
 
Serkali iweke utaratibu mzuri wa watu kujiua.
Mahitaji yamekuwa mengi sasa.
Kuna nchi tayari wana mashine nzuri tu za kujiua bila kutengeneza taharuki na vichwa vya habari.
...“Death is the solution to all problems" by Stalin
 
Unachozungumza ni kweli depression za namna hii zinanikumba saana na mpaka sasa mara nyingi wazo la bora nige lina nijia ila nikikumbuka watoto wangu ni wadogo na pia kujiua ni udhaifu na kumkosea Mungu nabaki kusema heri nisubiri wakati wangu nipumzike ila si kwakujiua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…