TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

Niki zoom Taasisi moja iloyo Jirani hapo na hili Tukio nalazimika Kuamini kuwa huyo Mtu hakijirusha bali alirushwa kwa sababu za Kumnyamazisha au alikuwa na Uadui na Mteuwaji Mkuu hivyo Watu wa Mfumo wameamua Kumuondoa kwa Mbinu hiyo.
 
Sio mazingaumbwe aliiga mchezo kama ulaya wazungu wanaruka majengo marefu wao wanakuwa na vifaa ila yeye aliweka simtak lenye maji kwenye kuruka aligonga pemben ya tank af akaingia ndan.alivunjik miguu yote 2 akafa.
Bongo kuna maeneo yanasupport huo urukaji kweli? Au ni kujitaftia kifo tu.

Majengo yenyewe sio imara haya.
 
Kuna jamaa alijirusha pale magomeni kwenye ghorofa za Watumishi House alafu akafikia kwenye pipa la maji maarufu kama Sim tank na kufa palepale
Hakufa, alivunjika vunjika sehemu mbali mbali za mwili ikiwamo miguu na mikono. Alikuwa bado mzima akapelekwa hospital.

Uzuri familia yake wwalikuwapo kuona tukio lake la kujirusha ambalo yeye alilipa jina la tukio la kishujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…