Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mbona kafanana kama wale wavaa kaunda suti, huo uMCee ulikuwa wakuzugiaHuyu ndiy kajirusha ghorfan na kufa hapohapo alikuwa ni MC [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 2632483
Kweli kabisa usemayo.Wazungu wakisema hatuna akili tusikatae tangu saa 11 mpaka saa 2 mnauangalia tu? Hamna vituo vya polisi? hospital?
Akili zao zilikuwa finyu sanaHuyu Jamaa ndio Tushamsahau!!View attachment 2632363
Hilo jengo halina ulinzi!? Je alikuwa anaishi hapo!? Usalama madirishani ukoje!?Hapo kuna mawili au matatu
1. Kajirusha
2. Karushwa
3. Kashurutishwa kujirusha
Alifanya hilo tukio huko mtwara kwenye jengo la ghorofa nne akaja kurudia kwenye jengo la ghorofa zaidi ya kumi, kaburi likamuhusuTena alifanya interview kabisa kabla ya kujirusha na kujisifu kuwa alishafanya mirusho kadhaa
Jengo kama hilo halina cctv camera kweliSomehow you're there at the right track.
Neno "kajirusha" kwenye hili tukio linaonekana limetumika tu makusudi kama "scapegoat" ya kuficha na kufunika ukweli wa mambo ili kifo chake kionekane kama ajali ya kawaida na wala siyo "tukio la kupangwa"
Hakuna hotel hapoItakuwa ni fumazi alipewa masharti wamle na wamuue au ajirushe dirishani, imeisha hio
Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.
Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri zitakavyopatikana.
=====
Kijana asiyefahamika aliyekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amefariki baada ya kujirusha kutoka gorofa ya 15 katika jengo la Derm lililopo Makumbusho, Dar es Salaam.
Yeye akataka kujilengesha kwenye mduara wa tank 😄Yule jamaa kifo kile kama alijitakia
Wenzao nje huko eneo lote la chini
Linazungushiwa magodoro makubwa hata ikitokea anapiga chini haumi
Ova
Kwani Kuna uwezekano wa kuwa nje ya hayo matatu mkuu!?..yaani unatabiri mechi itakua na mshindi au sare!!Hapo kuna mawili au matatu
1. Kajirusha
2. Karushwa
3. Kashurutishwa kujirusha
Kwa nature ya eneo hilo napata mashaka sana sana na juko kujirushaPale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi...
Kama ni kazi ya kitengo SAHAU[emoji419][emoji375]Jengo lile litakosa kweli cctv cameras
Ova
Kumbe hata nyie waswahilina mnakuwaga na huruma?Ndo huyo huyo ...Maisha yana siri sana na ana familia yake kabisa