TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

Huyu ndiy kajirusha ghorfan na kufa hapohapo alikuwa ni MC
 
Mbona yule shuhuda mwingine alisema anakujaga kuswali kwenye msikiti uliopo gorofa ya 15 huku wewe unasema jumapili alikua kanisani!
 
Jambo la kujifunza.. wanaume tujifunze kushare mambo yanayo tusibu hata kama tutaaibika.
Mboni hii ni story tofauti au wamekufa wawili pale Makumbusho, maana story niliyosikia Mimi jamaa alienda kuswali Msikitini alipomaliza kuswali ndio watu wakamuona flo ya juu akafungua kioo akajirusha mpaka Chini na anafahamika sio kwamba hawamfahamu chanzo ni msogo wa mawazo na ugumu wa Maisha kaona ni Bora ajimalize kuliko kuendelea kuishi
 
Wanaume tuwe na utaratibu wa kulia,inapunguza machungu yaliyo moyoni. Kulia siyo udhaifu.

unaingia zako chumbani na kuangusha kilio Kama nusu saa,ukitoka hapo kila kitu kinakuwa fresh. Jamaa kafa kifo kibaya Sana,si Ni heri tu angejioverdose dawa ya usingizi,akilala angelala moja kwa moja.
 
Stress siku zote huwa ni kama upepo, mawazo mabaya yakikujia kichwani ukijipa muda yatapita, na yatapita pale ambapo utapata solution au vinginevyo.

Tatizo linakuja pale ambapo wazo husika hukulipatia solution, hili naturally litajirudia kwenye ubongo ili ulipatie majibu, hapa ndipo stage ya kwanza ya hawa wanaoamua kujiua inapoanzia.

Hili wazo likija kwa mara ya pili lazima utakuwa na option mbili, moja nzuri, na nyingine mbaya, sasa ni kwanini wengine huamua kuichukua option mbaya kama mhanga aliyejiua?

Wengi hufanya hivyo wakiamini kwamba kujiua ndio better and easy option, hawa wanasahau hakuna tatizo jipya duniani, linalokusumbua leo ndilo lilipatiwa jibu na mwenzako jana, ONGEA na wachache, lazima kwenye ushauri utaopewa kuna milango ya solution itaanza kufunguka.

Ukishaanza kufunguliwa njia, utaongezea na mawazo yako kulingana na mazingira uliyopo kama ni kazini au nyumbani, hapo utazidi kupata njia za ufumbuzi wa tatizo lako, kuongea na watu ni muhimu sana, hasa ndugu na marafiki wa karibu, not everyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…