moi wa kitaa
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 931
- 940
Mimi cjaelewa heading na story au zenyewe ndio hazielewekii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa gari lake linahusiano gani na kifo chake police wetu nao wanacomplicate mambo sana.Dah [emoji22] ninaamini pasi na shaka yoyote kuwa huu ni wakati sahihi kabisa wa kuzungungumza wanaume wenyewe kwa wenyewe kuwa ni sawa kutokuwa sawa, its really ok not to be ok! Tukae chini wenyewe kwa wenyewe men to men TUONGEE YETU YOTE dah [emoji17] RIP brother Joel [emoji120]
Posted @withregram • @millardayo Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linachunguza tukio la kifo cha Mtu aitwae Joel Misesemo Chizi anayekadiriwa kuwa miaka kati ya 35 hadi 40, Mkazi wa Mwananyamala ambaye alijirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama na kufariki.
Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa Marehemu alionekana katika jengo hilo leo tarehe 23, Mei 2023 majira ya saa kumi na moja alifajiri na alimwambia Mlinzi wa zamu kuwa anaenda kufanya ibada kwenye Msikiti uliopo ghorofa ya 15 dani ya jengo hilo lakini muda mfupi baadaye alijirusha.
Taarifa ya Polisi imesema camera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya saba kupitia dirishani na kufariki ambapo tayari mwili wake umepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala kwa uchunguzi zaidi.
Jeshi la Polisi limepata gari la Marehemu aina ya Suzuki rangi ya silver lenye namba za usajili T142 DRM lililokuwa limeegeshwa kwenye maegesho ya magari katika eneo hilo na sasa limehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay.
Hamna kinachoeleweka. Naona mimi kama mwanaume anazidi kunichanganya.Mimi cjaelewa heading na story au zenyewe ndio hazielewekii
Anawahi parachichi kabla ma Klaree hajafunga gengeYan umereport kama unakimbizwa
watu wengine mnawazaga ng'ombe tu. wasukuma bwana.Mwl?
Ingia bank acha uoga wa pesa mkuu utakufa masikini,
Ingia bank omba mkopo fanya biashara ya faida
Tafuta hata laki nne tu, nenda kijijini kwenu kanunue ng'ombe mmoja tu au wawili wa laki mbili mbili, uwalishe pumba muda wa miezi miwili tu kwa uaminifu kabisa, ninauhakika mara baada ya miezi miwili hiyo, kila ng'ombe mmoja atakupa faida ya ng'ombe mwingine mmoja!
Katoa ushauri mkuu,si dhambiwatu wengine mnawazaga ng'ombe tu. wasukuma bwana.
Naona kuandika habari nyingi zisizo na mwishoAnawahi parachichi kabla ma Klaree hajafunga genge
Wewe unamatatizo sana mkuu, hapo wewe umewaza niniwatu wengine mnawazaga ng'ombe tu. wasukuma bwana.
mtu mwenyewe anaitwa joel. nini huelewi hapo.Mbona yule shuhuda mwingine alisema anakujaga kuswali kwenye msikiti uliopo gorofa ya 15 huku wewe unasema jumapili alikua kanisani!
Machawa uwa hawaelewekagi mara nyingi.Naona kuandika habari nyingi zisizo na mwisho
Darasani kwetu pale bwiru girls ulikuwa unaburuza mkia unahisi hapa utaelewa?Mimi cjaelewa heading na story au zenyewe ndio hazielewekii
Asante bro na wewe piaR.I.P classmate