Joel Nanauka akifurahia ndoa

Ahaaa ila watu ni wambea *****
 
Wakawaida tu mkuu ,sema wabongo hatupendi kusoma vitabu ,tunapenda kusikia tu.
Kabisa mkuu.

Wabongo wavivu sana kusoma vitabu afu muhuni mmoja akitokea akasoma soma vitabu na kupiga suti na moka kali akaanza kuwapa speech basi wanaona anajua kila kitu.

In this era of science and technology mambo ni rahisi sana kila mtu anaweza kujua chochote atakacho kwa intaneti tu, si lazima mtu aje akwambie kwa kukupa speech.

Tatizo wabongo hizo intaneti wanatumia kufuatilia simba na Yanga Zuchu& Diamond na udaku udaku tu.
 
Umesema kweli.
 
Zamani nilikuwa namsikiliza,ila tokea nilipoanza kusoma vitabu nimepoteza interest kabisa ya kumsikiliza huyo mwamba,naona hana jipya,kumbe ni maarifa ya vitabuni.

Hongera kwake kwa kuwa msomaji mzuri.
Yeah sure.

Tatizo lingine la wabongo ngeli shida.

Na vitabu vingi vimeandikwa kwa kiingereza hivyo wabongo hawaelewi lugha na misamiati ya vitabu hivyo.

Huyo Nanauka alichofanya ni kutafsiri hivyo vitabu kwa kiswahili, Akaongeza mawazo yake kidogo kisha akachapisha kuwauzia wavivu wasiotaka kushughulisha akili zao kutafuta maarifa.

Wabongo wengi wanataka matumaini uchwara ya kuwafariji na umaskini.

Mtu anafurahi kuambiwa,
"See you at the top" ilhali kiuhalisia ni hohehae maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi.

Ndio wabongo hao.
 
Kama havunji sheria za jamhuri acha ale hela za wavivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…