Lovely1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650
Watu wenye akili hawajui kuchangua babies.... y...?1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650
Anajua yeye mwenyeweIli imsaidie nn?
Vip lakin Si ameshatoboaDaaah ya kweli kabisa mkuu..
Kuna jamaa angu alikua anajiita ellywizzy daaah so sad
1. Si kweli. Vitabu na mihadhara ya mtajwa Ni myepesi Sana. Hana zaidi ya ku-copy.Mpunguzie mzigo DR. HAYA LAND😊
ipo ivi fanya kuingia YouTube msearch..
Jamaa alikua na distinguished results both O-level na A_level
Na mengineo mengi kuanzia uandishi from scratch mpaka kuweza ku kick life & odds
Ingia utaonaa mengineyo
1. Bongo hao motivation speakers bado life linasumbua. Wengi bado wanajitafuta.Anajua yeye mwenyewe
Aaaaah wapi katoboa kidogo tuu yaani kidocchooVip lakin Si ameshatoboa
😀Basi hapo yeye ndio awasikitie wale waliondelea kusomaAaaaah wapi katoboa kidogo tuu yaani kidocchoo
Mkuu acha tu...😀Basi hapo yeye ndio awasikitie wale waliondelea kusoma
Sure kaka ukiona mlango wako wakutobolea unauwahi chapu kabla ujafunga kama mwana huyoMkuu acha tu...
Maisha haya yana siri kubwa sana
Wasiosoma vitabu watakubishia sana,ila mimi sikuwa msomaji wa vitabu ila nilipenda sana kuwasikiliza akina nanauka miaka hiyo.1. Si kweli. Vitabu na mihadhara ya mtajwa Ni myepesi Sana. Hana zaidi ya ku-copy.
2. Soma vitabu vya Dr Myles Munroe ulinganishe na Nanauka na Mauli utalia machozi.
Motivational speakers wa mwanzoni walishika shika hela. Mwaka 2011 Shigongo akishirikiana na James Mwangamba aliandaa mkutano Sheikh Amri Abeid Arusha na watu walilipa wengi kiingilio. Ila kwa sasa wananchi wameshtuka na kukataa hizo mambo. James akipost kwenye page yake hakuna mtu ana-comment tofauti na mwanzoni. Huyo Nanauka alisoma BCom ambapo kwa mwaka aliomaliza 2008 angepata kazi kirahisi na huenda hadi muda huu angekuwa mbali sana kama mhasibu. Motivational speaking hailipi. Kwa sasa kuna trend ya hawa wanaojifanya wataalamu wa afya. Unakuta mtu anajiita Dr kabisa. Nao pia wapige hela za wajinga haraka haraka kabla hawajashtuka.1. Bongo hao motivation speakers bado life linasumbua. Wengi bado wanajitafuta.
2. Ukitaka kujua jiulize mtu kama Mauki au Nanauka anaweza kualikwa kwenye talk ya maana (audience na payment nzuri) nje ya nchi? Hata kwenye vinchi vya kipuuzi kama Burundi, Malawi au Comoro? Kama jibu Ni SIO basi tambua hao jamaa ni makanjanja tu wanataka pesa ya LUKU na mafuta tu. Hawana jipya.
Hahaaaaaa umemshtukia kuwa jamaa anajipa promo.Asante mh. Nanauka kwa taarifa
Waliokukataa watakoma, vijembe ndio kwanza vimeanza..!
Sawa anakopi WEWE VYA KWAKO VYA KU COPY VIKO WAP..1. Si kweli. Vitabu na mihadhara ya mtajwa Ni myepesi Sana. Hana zaidi ya ku-copy.
2. Soma vitabu vya Dr Myles Munroe ulinganishe na Nanauka na Mauli utalia machozi.
WATZ NI WAVIVU SANA SASA HUYU MTU ANAWADANGANYA DANGANYA NA VITU VYAKE UCHWARA UCHWARA BX MNAMUOVERATE KAMA VILE KITU SANA....ANYWAY SIWALAUMU SANA BCOZ WENGI NI ZERO BRAIN SASA MKIPEWA VITU VYA KUOKOTA OKOTA VYA WATU KAMA HAWA MNAONA NI MAGENIOUS SANA SHEENZ KABISA1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati haikuwa Yao. Asanteni.
View attachment 3059650