Joel Nanauka akifurahia ndoa

Joel Nanauka akifurahia ndoa

2015 aligombea ubunge mtwara mjini ila wananchi walimkataa na kumpiga majungu sana kisa dini yake...walidai jimbo la mtwara hawezi kuongoza mkristo, mwishowe wakampa ubunge mtu mmoja alikuwa anaitwa Maftah nachuma muislamu safi sana mwenye sijda kubwa kwatiketi ya CUF,,ila mshkaji alipochaguliwa akaoa tanga na ghafla akawa anaichangia coastal union timu ya ukweni na haitoshi akaamua kuhamia tanga na wakati huo timu ya nyumbani ndanda ilikuwa inapitia wakati mgumu mno kiuchumi
Walete FaizaFoxy Malaria 2
 
1. Si kweli. Vitabu na mihadhara ya mtajwa Ni myepesi Sana. Hana zaidi ya ku-copy.

2. Soma vitabu vya Dr Myles Munroe ulinganishe na Nanauka na Mauli utalia machozi.
kwani lengo kutoa elimu au kubuni kitu kipya?

mbona wewe umezikalisha kwenye boksa unatumia maarifa ya watu?

kwa nini usibuni simu yako? kwa nini utumie JFf? si utengeneze yako?
 
WATZ NI WAVIVU SANA SASA HUYU MTU ANAWADANGANYA DANGANYA NA VITU VYAKE UCHWARA UCHWARA BX MNAMUOVERATE KAMA VILE KITU SANA....ANYWAY SIWALAUMU SANA BCOZ WENGI NI ZERO BRAIN SASA MKIPEWA VITU VYA KUOKOTA OKOTA VYA WATU KAMA HAWA MNAONA NI MAGENIOUS SANA SHEENZ KABISA
jamaa mjinga sana wewe, halafu watu wanaomfuatilia sio wajinga wajinga kama wewe


maana kwa akili hizo hata hivyo vitabu havikusaidii
 
1. Bongo hao motivation speakers bado life linasumbua. Wengi bado wanajitafuta.

2. Ukitaka kujua jiulize mtu kama Mauki au Nanauka anaweza kualikwa kwenye talk ya maana (audience na payment nzuri) nje ya nchi? Hata kwenye vinchi vya kipuuzi kama Burundi, Malawi au Comoro? Kama jibu Ni SIO basi tambua hao jamaa ni makanjanja tu wanataka pesa ya LUKU na mafuta tu. Hawana jipya.
inaonekana una chuki naye

Shida ya wapumbavu kuwachukia waliofanikiwa

mtu anawasaidia watu na wanatoboa halafu unasema anatafuta hela ya mafuta

Mimi namjua mentor mmoja ambaye huenda humu watu hawamjui kabisa

ila akiamua kupiga milioni 3 kwa wiki, faster tu

na ana ofisi kubwa karibu na airport DSM

sasa inakuwaje nanauka asiwe n hela?
 
Watanzania wengi wana wivu wa kijinga sana na roho za kifukara kama wachawi. Ukifuatiliaji comments za wengi humu watu roho zinawauma Ile mbaya Kwa mafanikio ya Nnanauka. Ni wachache sana Wanao appreciate mafanikio ya Joel na usmart wake kichwani.
 
washawishi wewe hao watu kama unaweza


mtu ameitwa hadi bungeni kwa kuthaminiwa mchango wake halafu anakuja mtu ameshiba mihogo na maji ya kandoro anaongea upuuzi
Tatizo la maskini choka mbaya kama wewe unadhani kuitwa bungeni ndio sifa kuu.

Wakati hao hao wabunge wenyewe wanazidiwa elimu, maarifa na fedha na watu wengi sana.

Halafu Mlala hoi kama wewe unadhani kuitwa bungeni ndio kwamba unajua kila kitu.

Una ulimbukeni na ujinga.
 
Back
Top Bottom