Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

Huyu jamaa ni contrepreneur,

Anakuuzia njia za mafanikio/matumaini....

Wewe ndo fursa kwake, biashara yake ni kudaka macho ya watu

Hizo njia za mafanikio ndo zipoje anazifundisha miaka na miaka, kwanini asichapishe muongozo mmoja tu? Kwanini asikuambie yeye alifanyaje anakupa ushauri wa jumla jumla?

Binafsi namchukia sana na natamani nikutane nae siku moja nimtukane.
 
Mimi binafsi namfuautilia sana,, yuko vyema.

Kipindi sina kazi nlimfuatilia sana mpaka nikaacha kumfuatilia, ila now nataka nianze kufaitilia video zake tena.

Nliwahi kununua kitabu chake kimoja kinaitwa ''Timiza malengo yako'' na kumaliza kukisoma chote

Ana convicing power katika uongeaji wake.

Ila kama motivation speaker kwa uono wangu haina haja ya kutia mafundisho ya dini yake maana hutokuta watu wote ni wagalatia.

Aendelee kufanya tafiti zake za kitaalamu ila awe neutral kwenye mafundisho yake.

See you at the top👍
 
Mkuu wewe una chuki binafsi nae.. no body perfect kwanini umtukane kakufanya lipi kubwa?
 
Jamaa anajua kupanga maneno ila hakuna anachofundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…