Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

Motivation words ni nzuri zinavutia na nyingi ni facts kabisa..ila kuziishi ndio mtihani. Hata wenyewe hao motivation speaker pesa wanapatia kwenye seminar na vitabu ila in real life mambo mengi sana wanachemka hasa biashara etc...ukiwafuatisha saa unyooke kama wanavoeleza utapata anguko hujawahi ona...
 
JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako.View attachment 2815437

NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.


Wewe na yeye wote ma fala, hakuna cha maana na cha ajabu alichoandika hapo kama wewe ni msomaji wa vitabu, kuna watu nondo hii dunia

Huyo anashangaza watu:

  • wavivu kusoma
  • wasiojua kingereza.
  • Naive.
  • washabiki wasio na malengo
 
Huyu jamaa ni contrepreneur,

Anakuuzia njia za mafanikio/matumaini....

Wewe ndo fursa kwake, biashara yake ni kudaka macho ya watu

Hizo njia za mafanikio ndo zipoje anazifundisha miaka na miaka, kwanini asichapishe muongozo mmoja tu? Kwanini asikuambie yeye alifanyaje anakupa ushauri wa jumla jumla?

Binafsi namchukia sana na natamani nikutane nae siku moja nimtukane.


Mweleze huyu pumbavu
 
Bro hizo ni nondo wa kuchanganya madini yaani ukiwa msomi wa vitabu vya dini na entrepreneurship basi ni mule mule.

Nilishahudhuria sana hao jamaa seminars zao wanapaste tu misemo hamna cha maana na vingi hata Facebook madogo janja wanaandika mambo yale yale ..... Motivational speakers wengi wanachukulia udhaifu wa elimu kupata easy money wapo kibao .

Maisha hayana formular shida ni zile zile.Hamna kipya hapo kama kafaulu vizuri basi ni jambo zuri ila motivational quotes hazina maana zaidi ya uvivu na kuwa watu conscious ambazo haziwezekani.
 
JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako.View attachment 2815437

NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
Kila mtu ana kitu na akili inategemea akili zako ziko angle gani.
 
Back
Top Bottom