Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una point, ila ninavyoelewa, watu tupo tofauti na tuna mitazamo tofauti kufikia lengo fulani.Huyu jamaa ni contrepreneur,
Anakuuzia njia za mafanikio/matumaini....
Wewe ndo fursa kwake, biashara yake ni kudaka macho ya watu
Hizo njia za mafanikio ndo zipoje anazifundisha miaka na miaka, kwanini asichapishe muongozo mmoja tu? Kwanini asikuambie yeye alifanyaje anakupa ushauri wa jumla jumla?
Binafsi namchukia sana na natamani nikutane nae siku moja nimtukane.