Huyu jamaa ni contrepreneur,
Anakuuzia njia za mafanikio/matumaini....
Wewe ndo fursa kwake, biashara yake ni kudaka macho ya watu
Hizo njia za mafanikio ndo zipoje anazifundisha miaka na miaka, kwanini asichapishe muongozo mmoja tu? Kwanini asikuambie yeye alifanyaje anakupa ushauri wa jumla jumla?
Binafsi namchukia sana na natamani nikutane nae siku moja nimtukane.