TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

Acha akome wakati mnashangilia kifo cha JPM hamkujua wakati wa Mungu unakuja

USSR
Kwahiyo magufuli hakutakiwa kufa yeye ni nani?,jeuri na ujuaji wake wa kishamba ndio vilifanya watu washangilie kifo chake
 
hili wimbi la3 limetu tandika kweli kweli…...RIP mama!
 
Maghufuli anaendelea kuwakarbisha tuu, sa hv kila mmoja apambane na Hali yake ...!! Sisi wa kanda ya ziwa tulizika mzoga wetu Kwa matusi na kejeli ni zamu Yao kuzika mizoga Yao , watajijua
Hata wengi wanaojichoma nakupigana risasi huko dar nihao waoza meno!
 
mtu alikuwa anaua watu anateka watu anapora uchaguzi mkuu...mtu kama huyo akifa kwa nini watu wasifurahi???...tangu aondoke Tanzania imekuwa shwari kabisa kwa nini watu wasifurahi??? Biblia yenyewe imeandika kiongozi muonevu akifa watu hufurahi
Ni kweli tuko shwari na bring back Gaidi tu hakuna matatizo.
Yatendekayo gizani Nani ayafahamuyo?
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Huyo bibi ameshafikisha miaka ya biblia hata akifariki ni sawa ili akapumzike.

Kile kifo cha dhalimu si kwamba tu tulishangilia, bali hadi sasa tuko kwenye furaha ya ajabu.
Hakika wote wanaokufa Sasa wamefikisha umri unaostahili kifo, wewe mungu mpanga vifo vyao umenena..
Sherehe wapi leo ya kupalizwa kwa mama mtei?
 
Haya yote kisa ni ukabila ni ujinga wa sie, dini hapa wazungu na waarabu wametuteka akili, siasa ama vyama vya siasa zinatugawa.

USA Europe wanawaza namna ya kuwateka watu wawe watumwa wa kununua bidhaa zao na kutengeneza magonjwa sie huku kabila fulani ni Bora kuliko lingine , Mara chama Fulani ni Bora kuliko chako,Mara dini yangu ni mzuri kuliko yako. I hate all those shits above heavily so heavily. Sema labda hujawahi kuguswa navyo. Ukiwa unaishi kijijini kwenu huwezi gundua.
 
Hakika wote wanaokufa Sasa wamefikisha umri unaostahili kifo, wewe mungu mpanga vifo vyao umenena..
Sherehe wapi leo ya kupalizwa kwa mama mtei?
Waulize wanaomuhusu sherehe ni wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…