TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

M/Mungu akupe pepo yake ya daraja, bibi yetu mpendwa.. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Da kweli mkuu! Hawa chadema wengi wao wajinga sana walishangia sana kifo cha Magufuli kama wao hawatakufa wala kufiwa!
Magufuli aliyekuwa anashangilia maumivu kwa wapinzani wake mlitaka wao wahuzunike? Yule shetani alipata dhihaka inayomstahili.
 
Hakika wote wanaokufa Sasa wamefikisha umri unaostahili kifo, wewe mungu mpanga vifo vyao umenena..
Sherehe wapi leo ya kupalizwa kwa mama mtei?
Tuko hapa Machame Mkuu, karibu mbege bwashee
 

Una maana wema ule ule waliotendewa kina Ben Azory Mawazo Azory Lissu na wa kwenye viroba pia?

Apumzike kwa amani Mama Mtei.
 
We call it Karma

Wazungu wanasema "Karma is a 'bad' bitch".
 
Kumbe na wewe ni akili kisoda mkuu, dah so sorry

Rest easy mama mtei, sote ni wasafiri.
 
Sawa ndio maana nikasema nae ni mwendazake
 
Mbowe alishamwaga mwanae akachukua libavicha limoja linaitwa Joyce Mukya ,

USSR
Wewe mwanamke inaonekana una wivu wa kutisha, inaonekana ungependa mno Mbowe akuchukue wewe ila utafanyaje huna hiyo bahati na akina Polepole nao siku hizi akaonti nayo haisomi. Very sad.
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Huyo bibi ameshafikisha miaka ya biblia hata akifariki ni sawa ili akapumzike.

Kile kifo cha dhalimu si kwamba tu tulishangilia, bali hadi sasa tuko kwenye furaha ya ajabu.
Hata mimi naona mko kwenye furaha ya ajabu sana mkuu!

Hasa baada ya magaidi kuanza kukamatwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…