Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hawezi kutekwa mahakamani,ata watekaji wawe wapumbavu vipi hawawezi kufanya hivyoWrite your reply...sio katekwa
Hawajui hayo, intelligence yao ni kukamata tu si vinginevyo. Wakamate watanzania wote.Badala kutia watu hofu na uoga, unawapa chuki na ujasiri mbaya
Washtuke na kuachaHawajui hayo, intelligence yao ni kukamata tu si vinginevyo. Wakamate watanzania wote.
Sisi hatutaki washtuke wacha wachochee moto maji hadi yafike boiling point.Washtuke na kuacha