John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

Ni hatari sana ku risk maisha yako,kupigania watu ambao hawawezi kujipambania..kwa nchi zetu hizi utaozea jela kama lisu na hao wananchi wakiwa hawana time na wewe kabisa..
Kama umeamua kupambania watu wengine basi pambana kadri uwezavyo kwa sababu toka mwanzo uliona kuwa hao watu hawawezi kujipambania ndio maana ukajipa majukumu ya kuwapambania.
 
Leo nipo serikali ya ccm na hakuna cha salamu hapa.

Kama mmekamata wachieni haraka sana, hivi hamsomi alama za nyakati?

Mnataka nini haswa ,police mnataka nini haswa jibuni hapa kama mpo maana huu mtandao umefungiwa.


Mwachieni heche , back up ya hili itakuwa kubwa ,na mtasimlia , mwachieni araka sana asema Bwana , mwachieni na sema upya.


Majira hayapo upande wenu Bwana anasema ,mwachieni haraka sana ,

Thanks
 
Aisee Hawa jamaa sijui wanatumia nini kufikiri kuna muda wanaona kutumia miguvu ndo kumaliza tatizo kumbe ndo kwanza wanachochea kuni
 
Yesu! Yesu! Yesu! Yesu! Yesuuuu! Yesuuuu! Njooni tarehe 29/10 tuoneshane makali
 
Leo nipo serikali ya ccm na hakuna cha salamu hapa.

Kama mmekamata wachieni haraka sana, hivi hamsomi alama za nyakati?

Mnataka nini haswa ,police mnataka nini haswa jibuni hapa kama mpo maana huu mtandao umefungiwa.


Mwachieni heche , back up ya hili itakuwa kubwa ,na mtasimlia , mwachieni araka sana asema Bwana , mwachieni na sema upya.


Majira hayapo upande wenu Bwana anasema ,mwachieni haraka sana ,

Thanks
Polisi wanajua mtaongea hivi hivi mtachoka maana washawaona hamna maajabu zaidi ya kuandika andika tu
 
Polisi wanajua mtaongea hivi hivi mtachoka maana washawaona hamna maajabu zaidi ya kuandika andika tu
Hakika mkuu,ndo maana nasema siku zote.
Naendelea kushauri,viongozi wa CHADEMA waachane na hizi harakati. Waungane na CCM wale mema ya nchi..ukombozi wa kweli ni mpaka pale wananchi wenyewe watakapo amka usingizini. Na kudai mabadiliko ya kweli,
 
Hao jamaa wanaofanya kazi ya kuwakamata raia wema nao ni vichwa oanzi kweli yani IQ zao ni mbovu mno. Kuna muda wanahitaji kuacha kutumika na kutumia hata akili kiduchu kufahamu kuwa wanalofanya sio sawa.
 
Hiyo ndiyo kazi ya policcm. Kuwakamata na kuwanyanyasa raia wasio na hatia, na wakati huo huo wakitumika kuwalinda wahuni. Hili ni kundi la vilaza waliofeli mtihani wa form four.
Hii ndio genge la Samia wanaita amani. Kukamata kama kuku mtu yoyote ambaye hayupo kwenye genge la mafisadi bila sababu ya msingi au kufuata sheria, katiba.

Aliyekamatwa akisema hii sio sawa, kosa langu ni lipi, nipeni haki yangu, acheni uonevu, watakwambia unahatarisha amani ya nchi. Ukizubaa wanakumbakia kesi ya uhaini, uchochezi, na kukusweka lupango karibu na choo pamoja na wauaji, wabakaji na majambazi.
 
Back
Top Bottom