G
Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
Nyumbu tangu lini zikaandamana? Nyumbu kazi yake kutimua vumbi mitandaoniBado mnasubiri 29 October ndio muandamane, huku mkiendelea kunyooshwa kila siku?
Sawa wakuu 🙌
Naendelea kushauri,viongozi wa CHADEMA waachane na hizi harakati. Waungane na CCM wale mema ya nchi..ukombozi wa kweli ni mpaka pale wananchi wenyewe watakapo amka usingizini. Na kudai mabadiliko ya kweli, au unasemaje Pascal Mayalla
Hawa jamaa wanapenda haya mambo ndio kiki zao za kisiasa, wako serious utasema kweli kama yule kocha wa Yanga serious utasema kocha na hawa ndio kama yule. Sasa kushikiliwa na police ajabu ni nini?Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
Pia soma
> John Heche amekamatwa na kuzuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga
> Uhamiaji wadai Heche amevuka mpaka wa Sirari kinyume na sheria
View attachment 3491740Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika akizungumzia tukio la kukamatwa kwa makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho John Heche, leo Asubuhi Mahakamani alipofika kwa ajili ha kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Tundu Lissu.
View attachment 3491742
Video: Heche akiingizwa kwenye gari la Polisi
View attachment 3491756
Ni hatari sana ku risk maisha yako,kupigania watu ambao hawawezi kujipambania..kwa nchi zetu hizi utaozea jela kama lisu na hao wananchi wakiwa hawana time na wewe kabisa..Sahihi
Sasa Dar mko nyinyi tu wanaharakati? CCM wana watuDar es Salaam pekee inatosha kabisa kufanya mageuzi makubwa. Hakuna askari wa kuizima Dar yote.
kabisa yaani kuna maudhi sanaKufatilia siasa kwenye nchi kama hii ni kama vile unataka kujipunguzia siku za kuishi.
Oooh! Usiseme hivi mkuu. Inaumiza sanaNi hatari sana ku risk maisha yako,kupigania watu ambao hawawezi kujipambania..kwa nchi zetu hizi utaozea jela kama lisu na hao wananchi wakiwa hawana time na wewe kabisa..
kweli kabisa wanapambania maitiNaendelea kushauri,viongozi wa CHADEMA waachane na hizi harakati. Waungane na CCM wale mema ya nchi..ukombozi wa kweli ni mpaka pale wananchi wenyewe watakapo amka usingizini. Na kudai mabadiliko ya kweli, au unasemaje Pascal Mayalla
Wakati unaweza kukaa zako mezani,CCM wakakupa dau nono..ukala maisha na familia yako na ukatunukiwa cheo.kweli kabisa wanapambania maiti