John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

Bado mnasubiri 29 October ndio muandamane, huku mkiendelea kunyooshwa kila siku?

Sawa wakuu πŸ™Œ
Mbaga, inaonekana unaenjoy sana mafisadi wanavyokula mema ya nchi hii 😁😁😁
Si unajua kuwa tumeshashuka kutoka uchumi wa kati. Tupo uchumi wa chini sasahivi. Kundi moja na Uganda πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo ndiyo kazi ya policcm. Kuwakamata na kuwanyanyasa raia wasio na hatia, na wakati huo huo wakitumika kuwalinda wahuni. Hili ni kundi la vilaza waliofeli mtihani wa form four.
 
CCM tangu ujana wako hujawahi kumiminwa Toka chupa hii kwenda chupa hii, sasa utamiminwa asema BWANA
 
Mbaga, inaonekana unaenjoy sana mafisadi wanavyokula mema ya nchi hii 😁😁😁
Si unajua kuwa tumeshashuka kutoka uchumi wa kati. Tupo uchumi wa chini sasahivi. Kundi moja na Uganda πŸ˜‚πŸ˜‚
Umeelewa nilichokiandika?
 
Nilijua tuu ni swala la Mudaa tuu
Ilikuwa hivyooo
 
Mm sio Nabii.

Heche atakaa Rumande had Uchaguzi upite na Rais kutangazwa.
Kwahiyo tutegeme Heche kupata dhamana ni Jumatatu ileeee ya tar 3 Nov,2025.
 
Haya kama kweli mna Uchungu na Utawala achieni keyboard hizo mkamchukue Heche kuna uwezekano saa nane akafikishwa mahakamani.

Vijana wengi wa Jamii forums ni waoga wanapambana na keyboard (keyboard worriers) matendo hakuna Kiko wapi?
 

Maza yuko busy anashikndana na kivuli chake.
 
Ameshasema kua yeye ndio amiri jeshi mkuu ni nani aliye juu yake mpaka aogope kufanya chochote?

Tumaini pekee iliyobaki ni nguvu ya uma tu na sio vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…