Kama umeamua kupambania watu wengine basi pambana kadri uwezavyo kwa sababu toka mwanzo uliona kuwa hao watu hawawezi kujipambania ndio maana ukajipa majukumu ya kuwapambania.Ni hatari sana ku risk maisha yako,kupigania watu ambao hawawezi kujipambania..kwa nchi zetu hizi utaozea jela kama lisu na hao wananchi wakiwa hawana time na wewe kabisa..
Yule ni very low IQ, alipata sifuri matokeo ya form 4!.IQ ya yule Mama haitoshi kumshtua kwamba haya mambo ndio yanahamasisha maandamano.
Polisi wanajua mtaongea hivi hivi mtachoka maana washawaona hamna maajabu zaidi ya kuandika andika tuLeo nipo serikali ya ccm na hakuna cha salamu hapa.
Kama mmekamata wachieni haraka sana, hivi hamsomi alama za nyakati?
Mnataka nini haswa ,police mnataka nini haswa jibuni hapa kama mpo maana huu mtandao umefungiwa.
Mwachieni heche , back up ya hili itakuwa kubwa ,na mtasimlia , mwachieni araka sana asema Bwana , mwachieni na sema upya.
Majira hayapo upande wenu Bwana anasema ,mwachieni haraka sana ,
Thanks
Hakika mkuu,ndo maana nasema siku zote.Polisi wanajua mtaongea hivi hivi mtachoka maana washawaona hamna maajabu zaidi ya kuandika andika tu
Nionyeshe comment Moja nikifurahia yanayofanywa na ccmNimeelewa mkuu ila nimeona comments zako nyingi ndo maana nimesema hivyo
Yani nianze kuzitafuta? Nah sifanyi kazi hiyoNionyeshe comment Moja nikifurahia yanayofanywa na ccm
Hii ndio genge la Samia wanaita amani. Kukamata kama kuku mtu yoyote ambaye hayupo kwenye genge la mafisadi bila sababu ya msingi au kufuata sheria, katiba.Hiyo ndiyo kazi ya policcm. Kuwakamata na kuwanyanyasa raia wasio na hatia, na wakati huo huo wakitumika kuwalinda wahuni. Hili ni kundi la vilaza waliofeli mtihani wa form four.
Huu upofu ni mbayaSisi hatutaki washtuke wacha wachochee moto maji hadi yafike boiling point.