John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

Tunasubiri waingie kwenye mfumo,watanyoka watajua kwa nini Kambarage alipewa uburu bila kumwaga damu,wao walimwaga damu itawatafuna .hiyo....
 
Malaria! Ni udini upi ? Au Bi Saada ndio mdini?
 
WaTanganyika ni watu wa ajabu sana!
Wanafikiri dunia na watu ni fair kwao!
Wake up Tanganyikans!
 
kwani huko zanzibar huwa hakuna watu wa mataifa mengine ?
mbona nyinyi watu wa tanganyika mnapenda sana kujilizaliza
utafikiri ndio jamii pekee ambayo ipo huko zbr
mkuu huoni hiyo chuki iliyopo saiv, unazan ndugu zetu kule kwa sasa wanaishije?
 
mkuu huoni hiyo chuki iliyopo saiv, unazan ndugu zetu kule kwa sasa wanaishije?
wakifanyiwa ubaya na sisi tuwafanyie ubaya wanzenjibar
pia mimi sio muumini wa kulalamika
jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wangu nalishughulikia kikamilifu na
kama siliwezi naliacha kama lilivyo.
wanasema kulilia maziwa yaliyomwagika hakuwezi kuzoa maziwa
 
upo sahihi kiongozi.
Ila hari itakuwa mbaya atari
 
Yaani mtalii akitaka kitimoto pork ribs aambiwe yakhe me siwezi kukuuzia hiyo nenda pengine, au mtalii ana njaa sa saba aambiwe subiri nitoke nsikitini ntakuhudumia hahaha
Ha ha ha kuwaajili wazanzibar ni changamoto kubwa ni wasumbufu balaa wana visa vingi ndiyo maana wamiliki wa mahoteli hawawataki hata akiwa mmiliki wa Hotel ni mzanzibar mwenyeji hataki kuwajili ndugu zake anaajili watanganyika kwani ni wachapakazi wazuri kuliko wazanzibar
 
kwani huko zanzibar huwa hakuna watu wa mataifa mengine ?
mbona nyinyi watu wa tanganyika mnapenda sana kujilizaliza
utafikiri ndio jamii pekee ambayo ipo huko zbr
Kwani Zanzibar hapawatoshi? Mbona mmejazana Tanganyika? Kwani wenye mahoteli hawajui kuwa wapo watu wa mataifa mengine? Wamiliki wa hotel wanawapenda watanganyika kwa kuwa ni wachapakazi wazuri tofauti na wewe na ndugu zako kushinda vibarazani kupiga majungu na ulalamishi usio na tija
 
WATANGANYIKA NI CHEAP LABOUR
KAMA MNASABABISHA WAZAWA WAKOSE MALIPO YENYE STAHA KWA SABABU YA KUENDEKEZA KWENU NJAA ACHA MTIMULIWE TU
 
We kweli malaria mbili
 
Acha upimbi wewe hizi takwimu unatoa wapi? Hatutaki tu kumwaga mchele maana kuku ni wengi
 
Hamna udini kwenye hoja hii? Na alieanzisha ni mzanzibar mwenyewe.
Considering wanaofaidi muungano kama lastborn ni zaznzibar kuliko hata watanzania bara

Huu muungano una faida gani?
 

Heche mihemko mingi atulie afikiri kwanza kabla hajasema kitu

Ukiwa Mtanganyika au ukiwa Mzanzibari kama huna bima hutibiwi bure iwe Zanzibar iwe Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…