Punguza u much know wa kila kitu, wizara yenyewe hujui utendaji wake unajifanya masemaji wa wizara.Gentleman,
kwa mfano wewe ukienda hospitali yoyote ile huko Bara, ikiwa huna kitambulisho chochote kile hutibiwi? Au ukienda hospitali za nje ya nchi mathalani India, ukiwa huna kitambulisho chochote kile hutibiwi?
Acheni upotoshaji nonsense plz,
Ikiwa huna kitambulisho chochote kile Zanzibar, utachangia gharama kidogo tu za matibabu na utapata huduma za afya vizuri sana, na utachangia gharama hizo kidogo kwasababu SMZ haiwezi kugharamia matibabu ya watu million 60 kwa bajeti ya trillion 8.
Na ni kweli kabisa haiwezekani kubeba mzigo huo wa gharama.
So,
kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu mgeni na mwenyeji wa Zanzibar anatibiwa inavyostahili katika hospital zote Zanzibar.
Tujitenge na upotoshaji nonsense gentleman plz 🐒
Wewe unaamini inawezekana kutoa kadi za bime ya afya bure kwa watu milioni 60+?Hili suala sio la kulialia ili tuonewe huruma, Tanganyika peeni raia wote bima ya afya bure sisi ndo walipa kodi kubwa, kwanini wazazibar wanapewa matibabu bure wakati kodi zao ndogo sie tukalipia matibabu??
Heche ana uhalali gani kuhoji hilo wakati Chadema imekuwa ikiwadhulumu wana Chadema haki zao miaka yote hadi wakapelekwa mahakamani?Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.
Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema.
==============
Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara.
Maneno muhimu kutoka kwako:
Unaelekeza mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari!!!! Ni mtu gani anaweza kuwa na kitambulisho cha Mtanzania lakini hana cha Mzanzibari?
Bila shaka ni mtu kutoka Tanganyika.
Umesema hatuna uwezo wa kutibu watu milioni 60 ambayo hiyo ni idadi ya Watanzania ambao wengi ni Watanganyika.
Je kuna siku wote wamevuka kuja kutafuta matibabu huko?
1. Saada unaweza kuwambia watu deni la Taifa ambalo kila mwezi tunalipa karibia trilioni moja na kadhaa ni kiasi gani kinatoka kwenye makusanyo ya Zanzibar?
2. Serikali za mitaa sio suala la muungano kwa katiba yetu,
Je unajua kuna wakurugenzi wa halmashauri za miji na majiji wameteueliwa kutoka Zanzibar huku Tanganyika?
Unajua kuna MADC wengi tu wameteueliwa kutoka Zanzibar wako huku bara?
Umefuatilia kwenye idara za madini, utaliii na wizara nyingi ambazo sio za Muungano kuna wakuu wa idara wangapi, wakurugenzi wa idara na maafisa wangapi kutoka Zanzibar?
Unataka Watanganyika wanaoishi huko wabaguliwe na wasipewe matibabu kwasababu ya kukosa kitambulisho cha Mzanzibari hata kama ana matibabu kadi ambayo ni sawa na bima ya afya….
Je Wazanzibari wanaoishi huku Tanganyika na wana bima za afya za NHIF nao wanyimwe matibabu?
Huyu ni waziri wa pili ndani ya mda mfupi kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya Watanzania wengine na..
Hakuna kauli yeyote kutoka kwa aliewateua, kwahiyo huu ndio msimamo wa ccm na ndio msimamo wa wateuzi wao.
Nani anaewatuma hawa kusema haya? Maana sio bahati mbaya… nani anaewatuma kuwabagua Watanganyika? := John Heche Makamu Mkiti CHADEMA.
Hospitali zina level.Gentleman,
upende usipende ukweli huu,
nenda kwenye hospital ya umma yoyote ile iwe Zanzibar au bara bila kitambulisho chochote kile, utatibiwa vizuri sana kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu utakayoyapata.
huhitaji kuweweseka kwenye ukweli huu. Hata hivyo, ukiwa na bima ya afya, utatibiwa bila gharama yoyote ile ispokua bima hyo itagharamia matibabu yako yote.
Hakunaga haja ya kupotosha kwenye mambo obvious kama haya gentleman 🐒
Gentleman,Punguza u much know wa kila kitu, wizara yenyewe hujui utendaji wake unajifanya masemaji wa wizara.
Eti India unaweza kutibiwa bila kitambulisho, unamdanganya nani.
Wewe Sasa ndo bumunda la Lumumba. Ndo umeandika nn?Heche hata Zanzibar haijui, anakwenda mchana anarudi na ndege ya jioni. Hajui hata maisha ya Wazanzibari. 55 % ya masheha zanzibar inawezekana ni Watanganyika.
Mabolozi wa nyumba 10 inawezekana 60% ni ya Watanganyika.
Wanaomiliki mashamba inawezekana 20% ni watanganyika.
Kinachowasumbua wengi humu ni UDINI.
Hukumu yake ilikuwaje.Heche ana uhalali gani kuhoji hilo wakati Chadema imekuwa ikiwadhulumu wana Chadema haki zao miaka yote hadi wakapelekwa mahakamani?
uko sahihi sahihi gentleman👊Hospitali zina level.
Kuna level haina madaktari bingwa. Usidhani hospitali ya level hii utachangia gharama kidogo.
Bima pia ina level.
Kuna level utaambiwa kwa unachotaka bima inalipa 30% inayobaki utaongezea.
Maneno mengiii jibu lake hili mpinge Waziri wako.Gentleman,
upende usipende ukweli huu,
nenda kwenye hospital ya umma yoyote ile iwe Zanzibar au bara bila kitambulisho chochote kile, utatibiwa vizuri sana kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu utakayoyapata.
huhitaji kuweweseka kwenye ukweli huu. Hata hivyo, ukiwa na bima ya afya, utatibiwa bila gharama yoyote ile ispokua bima hyo itagharamia matibabu yako yote.
Hakunaga haja ya kupotosha kwenye mambo obvious kama haya gentleman 🐒
Court technicalities ndio zimewanyima haki walalamikaji na sio uhalisia kuwa hawawadhulumu!Hukumu yake ilikuwaje.
Wasaidie wafungue nyingine unatulalamikia sisi tukusaidie nini.Court technicalities ndio zimewanyima haki walalamikaji na sio uhalisia kuwa hawawadhulumu!
swali jengine?
Sio watanganyika tu, yaani akina John mwambileHakuna sheha Mtanganyika, hakuna Mtanganyika anayeruhusiwa kumili ardhi Zenji, hakuna Mtanganyika anayeruhusiwa kuwa kiongozi Zanzibar.
Unavyokimbilia karata ya udini hivi Wazenji wameamua kuwabagua watu wa Bara kwa sababu za udini?
Yeah! Nahisi watafanya hivyo.Fungueni nyingine.
Kuna bima ya wote ilikua introduced. Kama upo kwenye kazi zinazohusu afya itakua unajua mlolongo wa bima zilizopita kabla ya hii.uko sahihi sahihi gentleman👊
but hiyo haina maana kwamba ukiugua, unaweza kukosa huduma za afya eti kwasababu huna kitambulisho fulani au bima ya afya.
Ni muhimu sana,
kujiandaa vema kiuchumi katika kugharamia huduma za afya ikiwa hatuna bima mahususi za afya, ila tumetoa kipaumbele zaidi kua na iPhone toleo jipya 🐒
Kama unalijua hilo sisi unatulilia tukusaidie nini.Yeah! Nahisi watafanya hivyo.
Kama una akili ya kufuatilia mada zilizomo humu, unahisi nani analialia humu kati ya mimi na ninyi? Ahahahahahah!!!1Kama unalijua hilo sisi unatulilia tukusaidie nini.
hata mimi naweza kuhoji mkuu,yeyote anaweza kuihoji serikali kama inaenda ndivyo sivyo.Heche ana uhalali gani kuhoji hilo wakati Chadema imekuwa ikiwadhulumu wana Chadema haki zao miaka yote hadi wakapelekwa mahakamani?