John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

Maleria 2+ Udini hapa unaingiaje?
Yapo hapa ambayo siyo sawa,mtanganyika ukifika znz ukaumwa ujifie tu.
#YAREKEBISHWE.
 
Maneno mengiii jibu lake hili mpinge Waziri wako.

View attachment 3604839
kwanza kabisa gentleman,
hii nukuu ni pure fake,

Lakini pia nimekuelewesha vya kutosha kwamba, hakuna raia kutoka nje ya nchi anaweza kukosa huduma za afya Zanzibar eti kwasababu hana kitambulisho fulani cha Zanzibar. Hiyo haitawahi kuja kutokea.

Jambo la pili,
mtu yeyote yule mwenye changamoto za kiafya awe ametoka bara au ni wa pale pale Zanzibar, awe ana kitambulisho au hana, atapata huduma za afya bila wasi wasi wowote.

Tofauti itakua ni yule mwenye bima ya afya atatibiwa kwa gharama ya aina ya bima yake, na yule asie na bima atatibiwa kwa kuchangia gharama kidogo tu za matibabu.

Ni muhimu sana kufahamu hili gentleman. Huduma za afya hazinaga mipaka wala ubaguzi 🐒
 
Huu muungano wa kishenI sana..
Tuanze kuwatimua huku bara..
 
hata mimi naweza kuhoji mkuu,yeyote anaweza kuihoji serikali kama inaenda ndivyo sivyo.
Uko sahihi. Kinachonishangaza ni kwanini Heche huyo huyo na chama chake wamemfukuza mwanachama wao kwa kuhoji jambo kama hilo? Majibu tafadhali?
 
Ninapata hasira pale mtanganyika anapounga mkono huu upumbavu wa kibaguzi.Muungano unatakiwa ufe.samia wao hatunkaki huku tanganyika.Anaongoza nchi kimalayamalaya tu.
 
kwani huko zanzibar huwa hakuna watu wa mataifa mengine ?
mbona nyinyi watu wa tanganyika mnapenda sana kujilizaliza
utafikiri ndio jamii pekee ambayo ipo huko zbr
Ndio kusema na Watanganyika wamejumuishwa kwenye hayo mataifa mengine kwasababu na wao hawana kitambulisho cha Mzanzibari.
 
Sasa huku Tanganyika kuna waalimu wa sekondari wazanzibar wengi Sana, hasa Dar es Salaam.
Kiwango chao cha kuwapa elimu watoto wetu kipo chini sana.
 
Umecomment usenge,heche unamlaumu ikiwa yy anajibu usenge wa waziri wenu,huko kwenu ndio wameanza ubaguzi,hii mbegu ya ubaguzi huko kwenu ndio imeanza,wabara sasa ndio ile sumu ya kujibu ubaguzi wenu ndio imeanza kuwaingia
 
Ndio kusema na Watanganyika wamejumuishwa kwenye hayo mataifa mengine kwasababu na wao hawana kitambulisho cha Mzanzibari.
ndio
kwani lazima hao watanganyika kufanya kazi kwenye nchi ya watu ambao hahawataki ?
 
Umecomment usenge,heche unamlaumu ikiwa yy anajibu usenge wa waziri wenu,huko kwenu ndio wameanza ubaguzi,hii mbegu ya ubaguzi huko kwenu ndio imeanza,wabara sasa ndio ile sumu ya kujibu ubaguzi wenu ndio imeanza kuwaingia
madhara ya kukimbia umande
wakati wenzenu wanajifunza mambo ya muungano na yasiyo ya muungano nyinyi mlikuwa mnamwangalia mwalimu kwenye rula. matokeo mnakutana na uhalisia wake mtaani mnaanza kutoa povu
 
Sasa huku Tanganyika kuna waalimu wa sekondari wazanzibar wengi Sana, hasa Dar es Salaam.
Kiwango chao cha kuwapa elimu watoto wetu kipo chini sana.
Na hiyo ni moja sababu moja wapo ya wawekezaji kukimbilia kuajiri watu wa bara. Na zipo nyingi ila kubwa ni utamaduni na maisha yao. Yanafanya kuishi katika ajira kuwa ngumu sana.

Kama ushawahi kiwa boss wao nadhani lazima utakutana na wakati mgumu sana kazi kusomga mbele.
 
Hun
Huna akili. Nenda tu Ukaswali
 
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi sio wewe.

Msikilize vizuri Saada kasema na video ipo, mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari.
Ndio sada mkuya yuko sawa bajeti yao ya Afya ni kwa ajili wazanzibari tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…