John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

Uko sahihi. Kinachonishangaza ni kwanini Heche huyo huyo na chama chake wamemfukuza mwanachama wao kwa kuhoji jambo kama hilo? Majibu tafadhali?
mimi ni mtanzania, sina vyama kwani uchaguzi ulishaisha,na yaliyopita si ndwele sasa tunaganga yaliyopo. Mimi nahoji as mtanzania ambaye naona kabisa kuwa hizi kauli zinatugawa watanzania. Mambo ya vyama nawaachia wakereketwa waliomo ndani ya vyama. Hili suala linawagusa watanzania wote,wazanzibar,watanganyika,wana ccm,wanachadema,wasukuma,wapemba,wanamwanza wanadaslam na yeyote yule anayeitwa mtanzania.
 
Unataka tukuamini wewe au Tumwamini Bosi wako Saada Mkuya?
 
madhara ya kukimbia umande
wakati wenzenu wanajifunza mambo ya muungano na yasiyo ya muungano nyinyi mlikuwa mnamwangalia mwalimu kwenye rula. matokeo mnakutana na uhalisia wake mtaani mnaanza kutoa povu
Vichwa bapa toka lini mkawa mmesoma,ni hao ccm wabara wasiojielewa na kuangalia maslahi ya familia zao ndio wanaowapa hiyo favor kushindwa kudai referendum ya pande zote kujua wananchi kama wanaafiki huo muungano na vitu gani vya kurekebishwa,ila kwa ujinga wao leo hii ndio maana Tanzania driving licence unaweza kuitumia nchi zote za SADC na EAC,ila znz huwezi kutumia halafu mazuzu yamenyuti tu,iko siku atakuja rais kichaa atafix ujinga wote huu
 
Mimi nazifurahia sana hizi kauli kutoka kwa mawaziri wa Zanzibar, zinaturahisishia kazi sisi ambao tunaitaka Tanganyika yetu. Kila mtu arudi kwao. Naipenda sana nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika.
 
Dini imetoka wapi hapo shehe. Watu wanajadili kauli iliyotolewa na huyo Saada wewe unaleta udini
 
Wewe Sasa ndo bumunda la Lumumba. Ndo umeandika nn?
Umeshafika na kuishi na wazanzibar www! Unajua jamaa ni mpumbavu wbaguzi kwa asili Yao?
Udini umeingiaje hapa? Siyo kweli kwamba wewe ndiyo mdini
Huyu mpuuzi Malaria 2 ana ujinga wa kurithi kila jambo lazima alihusidhe na dini, na akitoka hapo anaenda kula nguruwe kwa kificho.
 

Acha uongo, ulichosema hapo hakiwezekani kwa sheria za Zanzibar.
 


Sio udini
Ni kauli za viongozi wa Zanzibar,
 
Hata hapo SA yalianza hivi hivi dhambi ya ubaguzi huwa haiishi kamwe ogopa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…