John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

Hiyo ni kuharalisha ubaguzi kwani wenye mahoteli hawataki wazanzibar ndiyo maana huajili watanganyika ambao wana ufanisi kuliko wazanzibar
Acha necha uchukue mkondo wake. Kama demu hakutaki achana naye usimbake.
 
Nje ya madam kidogo. Wewe ndo malaria sugu?
 
Hoja yangu ni moja tu... Hao milion sitini kwann mnawajumuisha kweny huduma ya matibabu ya serikali ya znz? Leteni idadi ya watanganyika wanaotibiwa znz!!
 

Yaani mtalii akitaka kitimoto pork ribs aambiwe yakhe me siwezi kukuuzia hiyo nenda pengine, au mtalii ana njaa sa saba aambiwe subiri nitoke nsikitini ntakuhudumia hahaha
 
We jamaa ni jinga sana, ivi ulikoswaje koswaje na ile oktoba 29.?? Ilitakiwa utandikwe ya kichwa 👺👺👺
 

ILI KUONDOKA HADITHI ZA KUSADIKIKA....
Natamani kujua kama kuna Watanganyika waliohamia zanzibar kihalali kabisa wakapewa fursa ya kupata hivyo ulivyo oroshesha hapo juu.
 
Nahisi nyie wengi hamnazo , mbona ufafanuzi uko wazi ...Ile bima imepigwa kwa idadi ya watu wa pale , ina maana makadirio yako ya watu kiasi fulani , sasa nyie mkiongezeka si ni balaa ..Ukifa kule ikiwezekana lip , hata watalii wanatakiwa kulipia bima
 
Wee shekhe ubwabwa na udini ni🤞.
Kwenye mambo serious jaribu kutumia akili
 
Muungano ukivunjika, baada ya miaka michache wabara wataenda kuwa ma-haouse girl Zanzibara..
 
Heche mpumbavu,wizara ya afya siyo wizara ya muungano,so mtu asiye mzanzibar hawezi nufaika na wizara ya afya
Upande wa pili Tanganyika haipo bali Tanzania, mzanzibar ni mtanzania,hivyo ana haki ya kunufaika na wizara ya afya ya jamhuri ya 'muungano' wa Tanzania

Yaani akina heche ndiyo wanataka nchi na hawalijui hili!
 
Whatever you polish huo ni ubaguzi, zamani mbona hatukuwahi kusikia ubaguzi wa aina hii,

Kwani wizara ya afya imeanzishwa kipindi cha Samia, kapita Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli hatujasikia, why kipindi cha Samia.
 
Whatever you polish huo ni ubaguzi, zamani mbona hatukuwahi kusikia ubaguzi wa aina hii,

Kwani wizara ya afya imeanzishwa kipindi cha Samia, kapita Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli hatujasikia, why kipindi cha Samia.
Wizara ya afya ya Zanzibar, huenda wao wanatibiana bure,sasa kwa nini watumie gharama kumtibu mtu asiye mzanzibar!?
 
Wizara ya afya ya Zanzibar, huenda wao wanatibiana bure,sasa kwa nini watumie gharama kumtibu mtu asiye mzanzibar!?
Hiyo wizara ilikuwepo hata kabla ya Samia mbona hatujasikia ubaguzi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…