Kwa hiyo kumi ndio kigezo chako? Yaani ni jibu kama la mtoto wa chekechea akiulizwa uko darasa la ngapi atajibu "la kumi". Hivyo, nina uhakika ni namba tu umeitaja. Kwa nini wasiwe tisa au kumi na moja? Hata vile uhakika wa idadi yako hiyo si ndugu zako. Na kwa nini nawe usiwe mmoja wao idadi ifike 11?
Tanzania bila COVID-19 inawezekana ikiwa kila mtu atatimiza wajibu wake.
JILINGE UMKINGE JIRANI
JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
Unaongea utoto gani we dogo? Mnasema wapinzani ndio wanapika data, nimekuambia idadi wangalau niliyokuwa na uhakika nayo. Hivi we mwengeso unadhani bado watu hawajitambui ama?
Hivi na yey tumdai cheti maana alitumia mabilions ya pesa india kwa ugonjwa ambao mpaka saiz haufahamiki.Ndugai angekua anatumia common sense tu asingekua anavimbisha bichwa lake sema tu ndo hvyo tena jiwe anamtumia atakavyoAmeshapona?!
Ndugai anachotaka ni cheti tu kutoka Mkapa hospital!
Nina watu kumi ninaowafahamu kwa uhakika wamekufa kwa Corona. Hawa nina uhakika nao wala sihadithiwi. Iko hivi, taarifa za maambukizo na vifo zinafichwa na hilo halina mjadala, labda mjadala uwe kuhusu sababu hasa za kuficha taarifa.
Ulivyojua wamekufa ukachukua hatua ip?