John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

Kwani Magufuli asingekufa Samia angekuwa mwenyekiti sasa hivi ?

Lini CCM imeacha kutumia mabavu iliyokuwa inayatumia chini ya Magu ?
 
Kwani Magufuli asingekufa Samia angekuwa mwenyekiti sasa hivi ?

Lini CCM imeacha kutumia mabavu iliyokuwa inayatumia chini ya Magu ?
Wote mnashidwa kujibu swali, kama mwenyekiti hawezi kutimiza majukumu yake, hapotezi sifa ya kuwa mwenyekiti? Ni vikao vingapi mwenyekiti alikosa anapoteza nafasi uwenyekiti? Au katiba haina hicho kipengele? Samia amekuwa mwenyekiti baada ya Magufuli kushindwa kuendelea kutokana na umauti na ni muongozo wa kichama. Nadhani nyumba ya CDM inahitaji kujisafisha kabla ya kuonyesha vidole mambo ya kitaifa.
 
Kwani mwenyekiti anaondolewe kwa kukosa kuhudhuria vikao tu ?

Au unafikri mwenyekiti wa chama ni sawa na mwenyekiti wa kamati ya Harusi yako ?
 
Heche siyo tu kwamba anafaa bali kwangu Mimi kwa Kuwa kamanda Mbowe ameishasema hatogombea tena umwenyekiti wa Chama, basi huyu jamaa anafaa kumrithi Mbowe.
Uongozi wa chama haurithishwi kama huko kwenu mnapeana hadi ubunge wa rambirambi
 

KM sio problem; problem ni Mwenyekiti. Bila kumpumuzisha Ayatollah Mbowe, hata kama akitokea KM mwingine hodari kama Dr. Slaa, CHADEMA haitatoboa!
 
Kwani mwenyekiti anaondolewe kwa kukosa kuhudhuria vikao tu ?

Au unafikri mwenyekiti wa chama ni sawa na mwenyekiti wa kamati ya Harusi yako ?
Labda wewe utusaidie kuelewa uendeshaji wa CDM, mwenyekiti hayupo, makamu mwenyekiti hayupo. Nani kashika usukani? katibu mkuu ana majukumu yake ambayo hayawezi kuingia majukumu ya mwenyekiti au makamu mwenyekiti.
 
Personality ni kitu muhimu. Heche anafaa kuongoza jumuiya tu ...mnyika anamambo machache yanayomuangusha ikiwemo

Mtu mzima anaongea anajing'ata lipsi kifalafala.

Na kisentensi chake cha "TUNAITAKA SERIKALI IJITOKEZE..." yani siasa za upinzani unategemea ziendeshwe kwa majibizano badala ya kuleta msimamo watu waende mstari wa mbele..

Hayo tu.
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
 
Sikubaliani. Katibu Mkuu ni mtendaji mkuu ambae anatakiwa afanye kazi zake nyuma ya huyu. Huyu kazi yake kubwa ni kuhakikisha chama chake kinaweza kufanya kazi inavyotakiwa na kinatimiza matakwa ya kisheria. Anahakikisha wafanyakazi wanalipwa, mawakili wanakuwepo kutetea wanachama, barua zinajibiwa katika wakati muafaka n.k. Huyu sio mtu wa majukwaani. Mnyika anafaa kwa hili. Heche ni mpambanaji. Ni mtu wa frontline si wa kukaa kwenye desk. Wote ni muhimu sana.

Amandla...
 
J
John Mnyika anatoka Kilimanjaro. Usisahau hilo
 
Naunga mkono hoja Mkuu.
Mkuu, nawewe unabuy hii cheap propaganda? Kwani uongozi ni kupigana ngumi? Mnyika yuko smart na Heche pia. Muda ukifika Heche naye atakuwa katibu au mwenyekiti. Acheni tabia ya kuwavunja moyo viongozi wenu. Mazingira ya kisiasa ni magumu. Wao wako field tena ftontline wakati wewe na mimi tumejicomouflage nyuma ya keyboard tukidhani mambo ni rahisi hivyo.
 
it takes more 100 years CHADEMA kuchukua nchi,[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Tuko mwaka wa 99
 
Unat to mb wa siyo bure
 
katibu mkuu kazi yake nn au nafasi yachama kwake ikoje ,anatakiwa kuamka ASB na kuaza kulalama au nimtekelezaji wa maazimio ya chama kamati kuu.sielewi nielewesheni

John heche hafai kua katibu Mimi nafili sana awe mwenyekiti wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…