John Heche anastahili kuvaa viatu vya Freeman Mbowe

Kina nani wapo kwenye kakikundi sikutajii, mteule wao ni lema.

Ana uwezo au hana hiyo ni juu ya uwezo wangu kutambua.
Pale hakuna kitu kabisa!. Ili Chadema kisonge mbele, huwezi kuleta an empty shell at the top!, angalau ungesema Lissu!. Udhaifu mkubwa wa Lema is his intelect, hana reasoning power at all!, huyu ni mediocre ambaye anaweza kuwaingiza watu barabani ndani ya dakika sifuri!. Kitu ambacho nakikubali kwa Lema ni ndoto zake na baadhi ya kauli zake!, ile kauli yake kwa Sabaya, mpaka kesho ni very fresh in my mind!, huyu uenyekiti hawezi kabisa, he meeds to be more mature!.

Chadema ina tatizo kubwa sana la kukosa succession plan!. Hili nililizungumza ile siku nimeongea na Dr. Slaa Urais 2015 tusimlaumu Zitto: Nani anaujua Msimamo wa Dr. Slaa?
Nilisema Japo ushauri huu ni wa miaka 10 iliyopita, ingekuwa Chadema wameufuata ushauri huu, saa hizi, zamani Chadema iko Magogoni!.
P
 
Chama Kilikua na momentum hata kama ni demokrasia why wasisubiri 2009 uchaguzi ufanyike watu wanaanza 2007 kuchomeka viongozi wao kwenye ngazi za chini? Hiyo ndio demokrasia?

I am pro Zitto ila kwenye lile seke seke hakushauriwa vyema. Ni busara tu kusubiri mkutano mkuu upeleke jina sio kuunda makundi kabla ya uchaguzi mwisho wa siku hata kama Mbowe angeshinda wale waliompigia Zitto wangesusa kama ilivyokua kwa Mwambe na Sumaye!!
 
Siku Chadema ikiingia magogoni wadau tutapaza sauti wakukumbuke kwenye wale wabunge 10 wakuteuliwa maana mwili wako upo ccm ila moyo chadema.(tuombe uzima).

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hawajitambui hao wanajigamba lakni uchaguzi huru miaka yote unawashinda hawana ushawishi labda wa kuiba kura.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
😆😆😆 mwenyewe anajiona genius.
Hakuna mtu anazaliwa kiongozi mzuri, kuna watu ni born leaders, born to lead, lakini good leaders are made, hivyo Lema still has a chance to be a good leader, kitu cha kwanza ni intelect, lazima aende shule akaongeze ulimu ule ujanja wa kijiweni ni wa kuongoza genge na sio chama, sio watu sio nchi!. Umri unamruhusu.

P.
 
Nje ya hoja,

Mimi nitaaamini kama ccm inauwezo wakushindana na chadema bila ya kutumia nguvu za dola na kuwacha kila kitu kuwa huru hapo ndio tutajua uwezo wa ccm.

Hivi ccm haiwezi kushindana bila ya kupitia mbinu hizo?


Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja unaccm wangu Heche ni Kiongozi anastahili hiyo nafasi.
Na hili Dr Mollel analijua alijibu hoja zake kama mwanasiasa anayejutambua kwani Heche hashughuliki na personal issue ktk kujibu hoja
 
Anafaa sana. Ila naogopa usalama wake. Wasije wakamkolimba.
 
Huyu Heche ni mwenyekiti aliyechelewa kuchukua cheo hicho. Nilisema muda mrefu baada ya Mbowe kuchemka kwa kumpokea Lowassa, Heche ndio alipaswa kuchukua cheo hicho.

Bro, unampenda Heche!?
Maana hicho unachosema ni kuhatarisha usalama wa Mwenyekiti wa Maisha.
 
Anafaa sana. Ila naogopa usalama wake. Wasije wakamkolimba.
Mbona Lissu ni popular kuliko Mbowe ila sijawahi ona wakikosana au Mbowe kumuundia zengwe!! tuache kujenga picha za ajabu, hayo mambo unaweza fanya ukiwa na serikali ila kwa CCM inavyo operate, kosa dogo kama Hilo Chadema ingeshafutwa zamani sana tokea kifo cha wangwe au Saanane kupotea!!
 
With heche at the helm, utengamano uliopo chadema utapotea, mtaishia kupinduana kama huko nccr.

Si kwakuwa hana uwezo, kuna kakikundi hatari huko tayari kana mtu wao.
Labda kakikundi ka pandikizi la ccm
 
Chadema ina misingi ya kuheshimiana. Sio kama ccm wanamheshimu mwenyekiti sababu ya woga tu na kwa kuwa ni mtoa vyeo na mmiliki wa dola basi.
 
Of Course yupo vizuri .... Lakini bado hanatakiwa. Kukomazwa zaidi ndani ya chama kunawatu bado wana nafaxi nzuri sana, Kuna watu kama
1, Tundu lissu
2,,John mrema
3, John mnyika
4,Wenje..
Na vijana wengine wazuri wenye uwezo wa kujenga hoja na kusimia ipasavyo
Kimsingi heche yupo vzur ila bado anaitaji ukomavu zaidi ya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…