John Heche: CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani

John Heche: CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama”

Video: Clouds Media Digital
 
Fact 💯,Huyu mama anatumia vyombo vya dola kuendesha nchi hiyo Ipo wazi,ndo maana alikuja na msemo Wa * Hakutakuwa na Nywinywi wala nyinyinyu*
 
Katiba mpya,isipofuta muundo wa Kamati za siasa za CCM wilaya,Mikoa na Taifa, ni kazi bure!
Kinyume chake, Katiba ifute nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa,ambao ni wajumbe wa hizi Kamati za siasa
 
Huyu jamaa naye...
Kafanyaje?

Kaongea ukweli mchungu.

CCM sio chama cha siasa.

Ni chama dola ambacho nje na kutegemea vyombo vya ulinzi na usalama hata CHAUMA kina afadhali.
 
Back
Top Bottom