John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama”

Katiba mpya,isipofuta muundo wa Kamati za siasa za CCM wilaya,Mikoa na Taifa, ni kazi bure! Kinyume chake, Katiba ifute nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa,ambao ni wajumbe wa hizi Kamati za siasa