John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

Kuuchapisha na kuusambaza ndio suluhisho? Mbona wao Chadema hawajawahi kuuchapisha na kuusambaza mgawanyo wa ruzuku wanazopokea Toka Serikalini?
Hivi lini ccm wamechapisha ruzuku yao wanaopata serikalini? Kwamaana ndiyo kinapokea ruzuku kubwa
 
Huu mkataba Siyo tu kuusambaza tu bali utafsiriwe kwa lugha zote za Tanganyika na iwekwe audio ili mtanganyika ausome au kuusikiliza hata kama hajui kusoma na kuandika
 
Kiufupi huu mkataba umetutia AIBU watanzania kimataifa yani Watz wote tunaonekana wapumbavu kwa sababu ya wapumbavu wachache wenye tamaa

Walimwengu wataanza hata kuitilia shaka TZ Law School na products wanazotoa Kisa tu baadhi ya WANASIASA MAPUMBAFFFF
Wamaekani wameongeza muda wa maombi ya Visa, hawataki tena watu kutoka taifa la wajingawajinga
 
Huu mkataba Siyo tu kuusambaza tu bali utafsiriwe kwa lugha zote za Tanganyika na iwekwe audio ili mtanganyika ausome au kuusikiliza hata kama hajui kusoma na kuandika
Wazo zuri, hata redio zimebuni vipindi vya simulizi, ambapo mtu anasoma hadhi tu. Mkataba uwekwe kwenye audio kwa lugha ya kiengereza na tafsiri yake kwa kiswahili
 
Back
Top Bottom