John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni.
My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
Usiwaamini upinzani, watahongwa kesho tu watakaa kimya. Umesahau wakati wa kikwete?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
ccm mlichapisha na kusambaza lini mgawanyo wa ruzuku mnazopokea pamoja na mapata ya viwanja vya serikali mlivyopora.
Njoo kwenye tawi langu la chama nikuoneshe mgawo wetu tuliopewa kutokana na ruzuku. Na kwa taarifa yako, leo tumetumia kiasi kukodi basi la kutupeleka kwenye Mkutano wa KATIBU Mkuu wa CCM Kirumba! Cheza na CCM wewe!!!!
 
Sorry mm si fan wa chadema wala mwanachama. Ila hiyo Comparison ya kitoto kabisa, utafananisha mkataba wa nchi klishu sensitive na chama?
Dogo hapo ndipo unapokosea. Kama Chadema wanaamini wanaweza kusimamia mambo makubwa kama mikataba ya kimataifa, kwanini wasianze na hivyo unavyoviita vidogo Ili tuone genuinety yao kwenye mambo makubwa?
 
Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni.
My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
Mlishaambiwa hata kwa kilatini “ locuta causa finita “ 😅 yaani hiyo issue imeisha !! 😅 Ngoja Tusubiri tuone !!
 
Back
Top Bottom