John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

Na wananchi wasisitizwe kutembea na mikataba hiyo mitaani, makanisani na misikitini!!!
Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni.
My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
 
Mimi nadhani kuwe na malengo/miradi ya kitaifa ambayo haiwezi kuzuiliwa na kiongozi yeyote. Mfano: mradi wa kujenga bandari ya Bagamoyo, JK aliuanzisha, JPM akaukataa na sasa SSH anataka kuuendeleza.
 
Mkataba unasema jukumu la kuendeleza bandari yoyote Tanganyika ni jukumu la DP World. Huyo SSH anataka kuendeleza bandari ya Bagamoyo ya Zanzibar au ya Kenya?
 
Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni.
My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
Tranlation ya Kihaya?
 
Kuuchapisha na kuusambaza ndio suluhisho? Mbona wao Chadema hawajawahi kuuchapisha na kuusambaza mgawanyo wa ruzuku wanazopokea Toka Serikalini?
Mgawanyo wa ruzuku unawahusu wao Chadema..

Mkataba kati ya DP World na Tanzania unahusu wananchi na hatma ya nchi yao..
 
Back
Top Bottom