John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

John Heche: Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na Dubai

Kiufupi huu mkataba umetutia AIBU watanzania kimataifa yani Watz wote tunaonekana wapumbavu kwa sababu ya wapumbavu wachache wenye tamaa

Walimwengu wataanza hata kuitilia shaka TZ Law School na products wanazotoa Kisa tu baadhi ya WANASIASA MAPUMBAFFFF
 
Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni.
My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.

NI JAMBO JEMA, ILA KUTOKANA NA HALI YA WANANCHI WENGI KUTOFAHAMU LUGHA ILIYOTUMIKA KWENYE HUO KATATABA, INGEPENDEZA UTAFSIRIWE KWA LUGHA INAYOJULIKANA NA WATU WENGI ILI PASIWEPO NA UPOTOSHAJI WA WANAOUNGA MKONO HOU MKATABA.
 
wanachapisha wapi kama ni mtandaoni sawa ila kwa mfumo wa karatasi nashauri hizo fedha wangeanza walau kumwaga mawe ya ujenzi wa jengo la ofisi

Kwani hilo jengo la ofisi ni bora/la muhimu kuliko wanachi kujua ubovu uliopo katika mkataba?
1690739401592.png
 
Back
Top Bottom