Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
- Thread starter
- #21
Binafsi nimependa walivyopangilia huu utoaji wa elimu. Awamu ya kwanza mikutano ya kitaifa. Awamu ya pili kusambaza nakala. Yaani nchi inakuwa na hekaheka mwanzo mwisho hadi aliyeziba masikio kwa mikono atazibua tu.Safi sana.tunasubili ili wtz wayajue mahovyo hovyo yaliyomo kwenye mkataba wa kihuni wa vilaza na dp world