Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Atoe ushahidi wa Samia kumpa Mbowe hela ili ashinde uchaguzi chadema. Hakuna mtu mwenye haki ya kuumiza wengine na yeye asiumie!! Slaa ameleta damage kubwa sana kwa heshima ya Mbowe acha alipie gharama yake mshenzi mkubwa.
Dada hebu tuliza kishundu hicho.
 
Atawaambia Watanzania kuwa Dr Slaa kafia gerezani.

Kwani yeye Heche alipanga Dr Slaa afie wapi?
 
Kosa lake ni kuacha Upadri na kumuoa Josephine Mshumbushi, ambaye alikuwa mke wa mtu
Yeye mama Abdul hilo linamhusu nini sasa au anamuonea wivu huyo josephine
 
Atoe ushahidi wa Samia kumpa Mbowe hela ili ashinde uchaguzi chadema. Hakuna mtu mwenye haki ya kuumiza wengine na yeye asiumie!! Slaa ameleta damage kubwa sana kwa heshima ya Mbowe acha alipie gharama yake mshenzi mkubwa.
Sikujua kama wewe ni mke wa mbowe
 
Yeye mama Abdul hilo linamhusu nini sasa au anamuonea wivu huyo josephine
Tunajuwa kabisa DR Slaa alikuwa anaongea na kuokosoa kadri ya matakwa ya wanaompa hela. Slaa ni sawa na malaya wa Bar ya Kimboka pale Buguruni, hutoka na mwanaume yeyote atakaye mpa hela. Kesho CCM wakimpa hela atawafagilia
 
hakuna cha kushangaza Mzee slaa na binadamu mwingine yeyeto kufia popote pale kwasababu kila nafsi itaonja,

huyo kiongozi aache bangi 🐒
 
Kuna sehemu nyingi za kupumzisha akili.
 
Kwahiyo sasa wanataka rais aingilie mahakama?
 
Ila huyu mama hadi aibu..

Hivi Dr Slaa kosa lake kubwa ni lipi?
Mama ndio kamfunga slaa?

Acheni kabisa lame issues

Mama Hana haja ya kuingilia mihimili wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…