John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam,

Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran.

Kama alitoa ndege iwafuate Watanzania, mbona Watanzania waliopo sehemu nyingine jirani na Dubai hawakuchukuliwa?

Amesema hawatapata amani na hizo fedha walizoibia Watanzania hawatazila kwa amani.

John Heche alikuwa anasema jinsi Viongozi wanavyolimbikizia mali na kujenga majumba mengi ambayo mengine hata hayajui.. Hela za Watanzania zinaenda kufichwa Dubai.

Pia kazungumzia Watoto wa Viongozi wanavyo tapanya hela za Wananchi, Kwa kukodi Mahoteli ya kifahari kisha kualika Wasanii wakubwa kama wakina Beyonce kuja kutumbuiza kwao na marafiki zao.

MY TAKE;
Nilitaka kushangaa Samia apate roho ya kumhurumia Mtanzania. Tangu nione alichotufanyia 29 Oktoba 2025, hakika Serikali ya huyu Mama inatuona Watanzania hasa Watanganyika kama Nguchiro.
 
Mtanzania gani huyo alitaka kuchukuliwa ndege ikamuacha?
 
Israel, south Africa hata baiskeli na pikipiki za DP World haziwafuati watongonyika.
 
Hakuna kitu kizuri kama kuendesha nyumba yako mwenyewe unavyotaka😂😂😂😂😍
 
Wajanja wamemuweka huyu mama madarakani ili watuibie na kula raha.
Wezi ni watu werevu sana. Wakintikisa huyu mama kidogo tuu, mama wanamwaga wino hela inatoka. 😁
 
•Wangekuja tungeshajua tu mkuu
• kama walikuja walipiga shoo ukumbi gani
Kuwa mwelewa bc tofautisha kati ya show za matajiri na masikini
Msanii yeyote yupo kwa ajiri ya hela ata ww ukiwa na hela unaweza kumualika Davido akaja kwako akaimba na akamaliza akapanda ndege akaondoka na majiran zako wale masikini wasijue lolote
 
Wewe unaamini kuwa Beyonce huwa anakuja Tanzania kufanya shoo na kusepa kwa Siri?
Uwe muelewa hujasoma luga nini? beyonce imetumika km chagizo hapo sisi tuliosoma cuba tumemwelewa na d2 pia wamemwelewa.
 
Back
Top Bottom