Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 3,689
- 5,409
Unahisi Beyonce hajawahi kufika Tanzania?Beyonce? Mmmh Mbona Kama uongo
Unahisi Beyonce hajawahi kufika Tanzania?Beyonce? Mmmh Mbona Kama uongo
Hoja ni kufika Tanzania na kuitwa na hao mnaowasemea watoto wa Viongozi?Unahisi Beyonce hajawahi kufika Tanzania?
Ukiona mwanamume anaanza kuongea umbea,ujue amebanwa kila kona kwa hiyo anaongea lolote linalokuja mbele yake.Kwa kweli CHADEMA walipofikia sasa wanatia huruma.Salaam,
Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran.
Kama alitoa ndege iwafuate Watanzania, mbona Watanzania waliopo sehemu nyingine jirani na Dubai hawakuchukuliwa?
Amesema hawatapata amani na hizo fedha walizoibia Watanzania hawatazila kwa amani.
John Heche alikuwa anasema jinsi Viongozi wanavyolimbikizia mali na kujenga majumba mengi ambayo mengine hata hayajui.. Hela za Watanzania zinaenda kufichwa Dubai.
Pia kazungumzia Watoto wa Viongozi wanavyo tapanya hela za Wananchi, Kwa kukodi Mahoteli ya kifahari kisha kualika Wasanii wakubwa kama wakina Beyonce kuja kutumbuiza kwao na marafiki zao.
MY TAKE;
Nilitaka kushangaa Samia apate roho ya kumhurumia Mtanzania. Tangu nione alichotufanyia 29 Oktoba 2026, hakika Serikali ya huyu Mama inatuona Watanzania hasa Watanganyika kama Nguchiro.
View attachment 3579831
Huyu mtu ni Mbishi sijawahi kuona.Ni Ukweli mtupu, tena beyonce alizipeleka hizo hela kwenye tetemeko Haiti, baada ya Gaddafi kuuawa. Beyoncé donated Gaddafi money to Haiti
Umemsoma Ndombwindo alichoandika hapo juu?Hoja ni kufika Tanzania na kuitwa na hao mnaowasemea watoto wa Viongozi?
Akikwambia nishtueWe tuambie tu hiyo shoo ya Beyonce ilifanyikia wapi? Hata ka clip tu basi
Bila shaka umekurupuka kupost bila kusoma mjadalaWe tuambie tu hiyo shoo ya Beyonce ilifanyikia wapi? Hata ka clip tu basi
SawaBila shaka umekurupuka kupost bila kusoma mjadala