figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yote niliyoandika jina la Beyonce ndo limekuvutia au?Beyonce? Mmmh Mbona Kama uongo
Issue ya kumuita Beyonce naona kama haingii akiliniYote niliyoandika jina la Beyonce ndo limekuvutia au?
Hilo ni tatizo lako la kukurupuka na hatuna cha kukusaidia. Sasa kama haikuingii akili inakuingia wapi?Issue ya kumuita Beyonce naona kama haingii akilini
Wewe unaamini kuwa Beyonce huwa anakuja Tanzania kufanya shoo na kusepa kwa Siri?Hilo ni tatizo lako la kukurupuka na hatuna cha kukusaidia. Sasa kama haikuingii akili inakuingia wapi?
Sio naamini bali Nilikutana naye.. Hata Boyz II Men wallikuja.Wewe unaamini kuwa Beyonce huwa anakuja Tanzania kufanya shoo na kusepa kwa Siri?
•Wangekuja tungeshajua tu mkuuSio naamini bali Nilikutana naye.. Hata Boyz II Men wallikuja.
Kuwa mwelewa bc tofautisha kati ya show za matajiri na masikini•Wangekuja tungeshajua tu mkuu
• kama walikuja walipiga shoo ukumbi gani
Sasa ujue wewe kajambanani.. Hizi show za wakubwa.. Kaa kwa pattern•Wangekuja tungeshajua tu mkuu
• kama walikuja walipiga shoo ukumbi gani
Wewe unaamini kuwa Beyonce huwa anakuja Tanzania kufanya shoo na kusepa kwa Siri?
Ni Ukweli mtupu, tena beyonce alizipeleka hizo hela kwenye tetemeko Haiti, baada ya Gaddafi kuuawa. Beyoncé donated Gaddafi money to HaitiBeyonce? Mmmh Mbona Kama uongo
Uwe muelewa hujasoma luga nini? beyonce imetumika km chagizo hapo sisi tuliosoma cuba tumemwelewa na d2 pia wamemwelewa.Wewe unaamini kuwa Beyonce huwa anakuja Tanzania kufanya shoo na kusepa kwa Siri?