John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

Ukiona mwanamume anaanza kuongea umbea,ujue amebanwa kila kona kwa hiyo anaongea lolote linalokuja mbele yake.Kwa kweli CHADEMA walipofikia sasa wanatia huruma.
 
Cdm kumuongelea huyu mwanamke ambaye kila mtu anajua hayupo vizuri nikupoteza muda tu,upi msimamo wa chama na elimu gani nyingine itolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…