Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
- Thread starter
-
- #221
Ni mlevi na mgomvi,hata kwake tunasikia makelele kila siku na mke wake,mkewe akamwambia kazi yake kulewa tu lkn malipo ya ada anakwamaHeche ni mtu wa hovyo sana.Alikuwa anagombana sana na walimu wenzake
Ni vizuri ukajibu swali sio kuibua vihoja. Heche anajulikana na mambo yake hakuna shaka juu ya hilo, je wewe ni nani?.Hivi ndio umejifunza kuandika jana?
Mimi ni mtendaji wa wizara,nimepanda cheo sababu ya kuitumikia vema nchi yanguNi vizuri ukajibu swali sio kuibua vihoja. Heche anajulikana na mambo yake hakuna shaka juu ya hilo, je wewe ni nani?.
Awe boya boya km nyie walamba masaburi?hii nchi ina watu unashindwa kuwatafsiri😡Uko sawa,lakini Asiwe janjajanja
Mtendaji wa wizara hategemewi kua na uwezo mdogo hivi wa kufikiri. Jipe umuhimu TU😡vijana wengi walistuka TU washaharibiwa sababu ya shobo.Mimi ni mtendaji wa wizara,nimepanda cheo sababu ya kuitumikia vema nchi yangu
Tafsiri unavoweza,au beza inapostahiliAwe boya boya km nyie walamba masaburi?hii nchi ina watu unashindwa kuwatafsiri😡
Nimekuelewa nyumbuMtendaji wa wizara hategemewi kua na uwezo mdogo hivi wa kufikiri. Jipe umuhimu TU😡vijana wengi walistuka TU washaharibiwa sababu ya shobo.
Kwani kesi zimewaishia?Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Chura kiziwiDogo mimi sio chawa,wewe huna unalojua unadanganywa na lema na lissu na wenzake utapotea.
Nenda kwa mmeo,akupe keki ya kuKwani kesi zimewaishia?View attachment 3408356
Ccm inalinda nchi bila kuogopa chochote
Kitambo utaajiriwa ktk kitengo cha matusi - rudi tu kwenye point ya msingi.Kumbe wewe ni mjinga hivi,nurse ni mama yako huko kijijini kwenu,Mama yangu aliajiriwa wizara ya ushirika mwaka 1976 nadhani baba yako wakat huo alikuwa anashindia ubuyu shamba
Kwa mumeo ukweli?Nenda kwa mmeo,akupe keki ya ku
Endelea kupiga umbea,mimi nawahudumia watz makiniKwa mumeo ukweli?View attachment 3408473
Sahihi kabisa, wafanya fujo wapigwe
subiri ujibiwe na waislamu wenzako uliowasalimiaAsalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa ya ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Sawa qafirsubiri ujibiwe na waislamu wenzako uliowasalimia