John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Vema kutambua kuwa heche anapiga mpunga wa tonetone,shtua nyumbu wenzako mnapotea
 
Kama nimekuwa katibu mkuu,angalau kuliko wewe nyumbu anaetoa hela ili heche anunue mifugo shambani kwake
Kuanza kuringishia vyeo huo ni ushamba na ukilaza, kwa hiyo kujiita Katibu Mkuu ndiyo umekuwa Nchimbi? Wewe kidampa tu hata hakujui mtu, wenye CCM yao hawana haja ya kujitangaza humu. Aibu yako hii.
 
Wale walikuwa wadini sana,unajua mambo ya udini yananguvu sana,na wale watu wa uamsho waliongia kwa mgongo huo na lissu sidhani kama alielewa au alitaka political milage
Kasome upya historia ya Zanzibar ndio utawajua hao ambao JokaKuu alikuwa anawazungumzia. Hawakuhusika kabisa na mambo ya uamsho.

Amandla...
 
Wewe ungekuwa umevaa nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti ktk chama cha siasa ungezungumza maneno gani tofauti na anayozungumza?

* Kukataa kwake kufanya kazi kijijini ni kosa gani kisheria?

* Wewe mbn mama yako alikataa u-nurse akaenda kuolewa - naye unamlaumu?
 
Kuanza kuringishia vyeo huo ni ushamba na ukilaza, kwa hiyo kujiita Katibu Mkuu ndiyo umekuwa Nchimbi? Wewe kidampa tu hata hakujui mtu, wenye CCM yao hawana haja ya kujitangaza humu. Aibu yako hii.
Sasa nifanyeje,kama hutaki ni sawa pia,unadhani ukatibu mkuu ni mchezo,tunamsaidia mama,hapa naona dereva yuko nje naenda zangu nyumbani,kesho tunazindua dira.endelea kumshabikia heche
 
Kumbe wewe ni mjinga hivi,nurse ni mama yako huko kijijini kwenu,Mama yangu aliajiriwa wizara ya ushirika mwaka 1976 nadhani baba yako wakat huo alikuwa anashindia ubuyu shamba
 
Vema kutambua kuwa heche anapiga mpunga wa tonetone,shtua nyumbu wenzako mnapotea
Nani kakiambia Mimi nyumbu? Unataka nikatwe na KAMATI ya SIASA?

Mimi nilikuwa nakuroa kwenye akili kwamba ajira ya ualimu inalipa kuliko SIASA. Kama wewe ni mwl achana na kazi kagombee hata udiwani tu
 
Nani kakiambia Mimi nyumbu? Unataka nikatwe na KAMATI ya SIASA?

Mimi nilikuwa nakuroa kwenye akili kwamba ajira ya ualimu inalipa kuliko SIASA. Kama wewe ni mwl achana na kazi kagombee hata udiwani tu
Nitoke wizarani hadi udiwani,hapana naelekea ubalozini
 
Kumbe wewe ni mjinga hivi,nurse ni mama yako huko kijijini kwenu,Mama yangu aliajiriwa wizara ya ushirika mwaka 1976 nadhani baba yako wakat huo alikuwa anashindia ubuyu shamba
Basi mama yako alijitesa bure kubeba mimba yako. Bora ingeharibika kuliko Taifa kuwa Mbumbumbu kama wewe,😑😑
 
Sasa nifanyeje,kama hutaki ni sawa pia,unadhani ukatibu mkuu ni mchezo,tunamsaidia mama,hapa naona dereva yuko nje naenda zangu nyumbani,kesho tunazindua dira.endelea kumshabikia heche
Kumbe mtu mwenyewe mshamba na kilaza sasa kama dereva anakusubiri ndiyo tukuogope? Siku zote debe tupu haliachi kupiga kelele. Huyo mamako unayemsaidia amekuwa mlemavu?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Basi mama yako alijitesa bure kubeba mimba yako. Bora ingeharibika kuliko Taifa kuwa Mbumbumbu kama wewe,😑😑
Baba alinisimulia ulikuwa mke wake lkn hukushika mimba,hivyo akaenda kwa mama
 
Elimu yakujitambua anayoitoa Heche kwa wananchi ili wawe raia wanaozingatia maslahi mapana ya Taifa lao na kufuatilia mambo yanayohusu Taifa lao, aendelee kuitoa maanaa kila mwenye akili timamu anaunga mkono.

ndani ya mitaa ya Fallujah - Iraq.
 
Uchaguzi ukiwa free and fair,Heche akisimama na Maza,Heche anaingia Ikulu ya Chamwino asubuhi.
 
Nyerere aliyeacha ualimu na kuingia kwenye siasa nae tumtambuaje?

Mbona unaongea kama huna ma_ri_nda Chief,nini shida ?

Nyerere aliyeacha ualimu na kuingia kwenye siasa nae tumtambuaje?

Mbona unaongea kama huna ma_ri_nda Chief,nini shida ?
Una hakika anayo marinda huyo chocolate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…