Kwa hiyo ukibwatuka ndo hayo yote yataisha?Uliwahi kuona popote "ETHICS" zinazohusiana na kuteka watu, kuwaumiza au kuwaua?
Hata kama hujawahi kuziona au kuzisikia hizo: Nijulishe zile zinazohusiana na viongozi kuwa walaghai, waongo, wadanganyifu katika maswala ya uongozi wa nchi!
haya mambo ya kujisemea tu maneno, hata msiyojuwa maana yake ni nini yatatusaidia kitu gani?
Nyie huwa mnashikwa hadi makalio mnacheka cheka tu. Ndo maana ccm mashoga wengi sana.Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Nasikia UWT mnajambo lenu keshoBAVICHA wanajiengu live muda huu, BAWACHA lini?
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Ahahahahaha! Umeleta hoja out of point kabisa! Ahahahahaha!!Muda ni mwalimu mzuri. Mandela alikaa jela miaka mingapi?
Unazijua hata tawala za kifalme za Oriental? Zilitawala miaka mingapi, hao unaowaongelea ni sehemu ndogo tu ya process nzima jombaa.
Since you are myopic I will let you be. Unafikiri ufupi sana.
Habibi kwani maneno aliyotamka Heche sio povu?Mkiambiwa ukweli mnatoa povu, acheni mikutano ya wapinzani bila sababu au hamjui ni haki ya watu kukusanyika, watu wamechoka na watekaji na wauaji pia
Mmekuzwa kuwa wanafiki, wajinga na waoga, kusema ukweli sio kosa na kumjibu anayekutishia sio ImmaturitySign of. immaturity
Soma kwanzia mwanzo kisha relate dingi yanguAhahahahaha! Umeleta hoja out of point kabisa! Ahahahahaha!!
Kuna wakati mtu anajibiwa kwa staili inayoendana na alichikifanya ndio somo linaeleweka vizuri. Hawa polisi wetu kuna wakati wanafanya mambo utadhani hawajui wanachokifanya lakini ni kujizima data tu, ni watu kamili wenye weredi mkubwa. Wakikemewa hadharani aibu inawashika wanarudi kwenye mstari maana hakuna mtu mzima mwenye akili timamu anafurahi kukemewa hadharani.Binafsi sijasema wanyamaze.
Wajibiwe kwa werevu.
Hope huwafundishi wanao nidhamu za woga na unafikiHabibi kwani maneno aliyotamka Heche sio povu?
Chief nina mke na watoto.Nyie huwa mnashikwa hadi makalio mnacheka cheka tu. Ndo maana ccm mashoga wengi sana.
Wewe ndiye unasema "kubwatuka".Kwa hiyo ukibwatuka ndo hayo yote yataisha?
Utoto ...
Ila akiingia korokoroni mnaanza kulia Lia tena ππππTunahitaji watu majasiri kama kina Heche na Lissu,tungewapata watu kama hawa kila mkoa angalau 50K,tungeshabadilisha uongozi wa nchi hii,
Sahihi ujasiri na hekma kama wa nabii daudi ndio mafunzo yangu kwao.Hope huwafundishi wanao nidhamu za woga na unafiki
Chief nina mke na watoto.
Tangazo lako kwangu halina faida.
Porojo za online.Wewe ndiye unasema "kubwatuka".
Kama ulikuwepo na kutathmini hali iliyopelekea hayo kusemwa, tuelze.
Hayo "kuisha", ni 'process', inayoendelea sasa. Subiri utakapoona matokeo yake.
Wewe ndio unaogopa kolokoloni, huo ujinga umekwisha, mtaua wangapiIla akiingia korokoroni mnaanza kulia Lia tena ππππ
Sitopinga wala kwenda kupima kama hao watoto umenizalia na umenithibitishia jf kuwa sio wangu.Huwezi kuwa na mke na watoto ukaongea ulichoongea. Hao watoto ni wako kweli? Kawapime.
Ndiyo lugha wanayo ielewa nje ya hapo utajisumbua sanaKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!