Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mkeo anajua vizuri mimi nahusikaje hapo. Mbane tu vizuri atakuambia ukweli lakini fuatilia tabia za watoto wako wawili hao utaujua ukweli. Man Up dogo. Wanaume huwa hatuogopeshwi na magwanda au cheo cha mtu.Sitopinga wala kwenda kupima kama hao watoto umenizalia na umenithibitishia jf kuwa sio wangu.
Unashangaza kwelikweli. Sasa hivi unaona "amani Tanzania"?Porojo za online.
Hakuna chochote cha kutokea zaidi ya amani katika Tanzania.
Kuna mtu alisema watu wapige mbizi toka feri hadi kigamboni, na vile vile alisema watu wanye na wageuze mavi yao kuwa lami, na akapewa nchi..!!Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Narudia tena mimi najua watoto ni wangu,Mkeo anajua vizuri mimi nahusikaje hapo. Mbane tu vizuri atakuambia ukweli lakini fuatilia tabia za watoto wako wawili hao utaujua ukweli. Man Up dogo. Wanaume huwa hatuogopeshwi na magwanda au cheo cha mtu.
Mipumbafu mpo wengi...na huwezi kamwe kuwa ocd!Ningelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
Ma.ni.na zakoKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kawapime dogo.Narudia tena mimi najua watoto ni wangu,
Lakini maadamu mhusika ulienizalia umethibitisha watoto si wangu haina shida Habibi.
Wala sitokununulia gunia la mkaa kwa moyo safi watambulishe baba yao halisi.
Huyo ni wavulana kama mabintiMa.ni.na zako
Nitalifanyia kazi Habibi..Kawapime dogo.
Sawa mrembo. Tuache wanaume tupambane sasa.Nitalifanyia kazi Habibi..
Hizi kauli ni za hovyo sana najua kauli Kali za kihuni kama hizi ndizo zimewakimbiza wanachama wengi wastaarabu.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Wewe ni nun wa shirika gani?Nitalifanyia kazi Habibi..
Kama Magufuli alikuwa Rais Bora baada ya Nyerere kwa kubwabwaja ije iwe kwa heche?Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Samia aliwahi kutamka stupid, hapo vipiMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Ujasiri wa namna gani,ocd pale kosa lake nn?Tunahitaji watu majasiri kama kina Heche na Lissu,tungewapata watu kama hawa kila mkoa angalau 50K,tungeshabadilisha uongozi wa nchi hii,
Sasa habibi mpaka unakiri watoto sio wangu means unanijua vizuri.Wewe ni nun wa shirika gani?
Uko sahihi Chief tuendelee kubwatuka haina neno.Kama Magufuli alikuwa Rais Bora baada ya Nyerere kwa kubwabwaja ije iwe kwa heche?
Mkapa aliita watu marofa mkashangilia
Mwinyi aliwaita kichwa Cha mwenda wazimu mkashangilia
Samia aliwaambia tutazenguana mkapiga makofi
Sasa habibi mpaka unakiri watoto sio wangu means unanijua vizuri.
Now unaniuliza mimi wa shirika gani?
Unamzalia mtu bila kujua wasifu wake?
Habibi naona unashida ya kukosa kumbukumbu.