PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tat
Tata muraaaaaa
 
Utatekwa wewe usiejua mipaka yako
Kwani utekaji unamipaka hata wewe ukiuliza hospitali hakuna dawa tambua madokta na manasei watakuteka uhai wako
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Na ndiyo maana safari hii ni marufuku kwa msagaji kuingia ikulu maana ni chukizo kwa Mungu na ni kinyume na maadili ya kitanzania.
 
🤣🤣🤣🤣 Sikutaka kucheka ila nimelazimika.

Hapa Sina comment 😁😁
 
hakyamungu ningekuwa mie angekula ya kichwa, tusiruhusu kujaribu ustaimilivu wa askari wetu.
Askari Wana mipaka yao wewe
Wananchi nao wakiamua kuwapiga za kichwa itakuwaje au askari ni wengi kuliko wananchi
 
Huyo ocd ndo anatakiwa ashtakiwe kwa kujidhalilisha serikali kwa kutaka kuonyesha ubaguzi kwa raia wake

Kuzuia raia Tena kiongozi kwenda mji Fulani ni udhallishaji pia

Ameambiwa ukweli kwa lugha ya ukali maana amesahua majukumu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…