Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Mimi ni dalali ndio. Ila hujauliza wa nini!Ahaaaa kumbe dalali, maana ndiyo wanavaa hivyo nowadays,hasa madalali wa Morogoro..
Wanayoyafanya hayo kwa viongozi wa chadema ni sawa. Kwanini ameongea hivyo maana yake huyo ucd anafanya mambo ya *******.Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Ni kweli nimeajirwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Umenifanya nicheke nikajua unasema unamiradi hii na hii kumbe unavaa shati leupe bosi akinuna mmeo na watoto hawaendi chooni.
Kama amefanya kosa sheria wamwite wamshitaki na sio kutekana hayo yakutekana ndio yasiohitajika.Mikwara kibao kwenye Microphone usiku ukiskia kijiko kimeanguka unakimbilia kupost twitter kuwa kuna watu wanakufatilia.
Watu wa vijijini bhana mnapenda sana kutukana hovyo mkiamini ndio maisha wanayoishi watu wa mjini ni ushamba kutukana tukana hovyo bila sababu..Kama nani aliyeua akapata tabu? Babu yako? Maana nasikia alikuwa Kichaa kabla hajafariki!!!!
Wewe ni Malaya wa kisiasa na Chawa wa Mama huwezi kuelewa uchungu huo.Unatumia makalio kufikiriaKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Walifanya nani? Siyo hao hao polisi?. Hata kama miaka mia. Mzee kibao miaka 15 imepita siyo?. Mnauwa mapaka mnaweweseka mnaona mliwauwa miaka 15 iliyopita siyo?.Unazungumzia matukio manne ndani ya miaka kumi na tano?
Lisu alimkaanga kabisa RPC mkutano wa hadhara kule Kusini Ruvuma walipotaka polisi kumkamata Lisu,Lisu akasema kwa jiamini hakamatwi mtu hapa Mthubutu muone cha mtema kuni nyie Polisi CCMMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Kukatili uchaguzi ni ethics?Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Mimi nakaa Mtaa wa Majengo Mapya, Mkolani, Jijini Mwanza karibu na inapokaa familia ya John Heche. Kama hapo ni kijijini,poa!Watu wa vijijini bhana mnapenda sana kutukana hovyo mkiamini ndio maisha wanayoishi watu wa mjini ni ushamba kutukana tukana hovyo bila sababu..
Wewe mjinga! Umeyasahu ya nape na makala? Umeyasahau ya magufuli hadi kujilinganisha na malaika?Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Basi kwangu yangelikuwa zaidi ya hayo. Trust me!Walifanya nani? Siyo hao hao polisi?. Hata kama miaka mia. Mzee kibao miaka 15 imepita siyo?. Mnauwa mapaka mnaweweseka mnaona mliwauwa miaka 15 iliyopita siyo?.
Nani dogo?Hakuna anayeushi MILELE dogo? Hata Mapapa wa Kikatoliki na roho zao nzuri sana wanakufa! Au hujui hilo, dogo?
Hahahaaaaaa ana utoto sana huyuUmenifanya nicheke nikajua unasema unamiradi hii na hii kumbe unavaa shati leupe bosi akinuna mmeo na watoto hawaendi chooni.
Wale waleWewe ni Malaya wa kisiasa na Chawa wa Mama huwezi kuelewa uchungu huo.Unatumia makalio kufikiria
Nikiwa hai nautumia uhai wangu vizuri.Nani dogo?
Unawezaje kuijua hii ni roho nzuri au mbaya?
Mapapa hapo wametoka wapi?
Kumbe kama unajua hakuna atakayeishi milele hiyo chest thumping unaleta hapa nini faida yake?
SMH!
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
US