PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uko sahihi viongozi wa kitaifa inatakiwa wachunge kauli zao, kauli hazifi

Public figures have to keep their words
 

Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa yale mambo yetu sasa, ule mwisho hauko mbali.
 
Hilo lipumbavu linatafuta lawama. Wanaanzaga hivyohivyo, mtu mzima mwenye akili zake hawezi kuongea kitoto hivyo. Wanapenda sn shari hasa wakiwa mbele ya kadamnasi, afanye uhalifu km hana la kumfanya. OCD anaangalia usalama sasa km hujafañya kosa unabwabwaja nini. Eti hilo ndio kiongozi
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Ulisikia alicho ambiwa?
Maana ya kuwa 'matured' ni nini, kusikiliza upumbavu?

Kuteka watu na kuwaumiza/kuwaua, ndiko unakojuwa kuwa 'matured'?
 
Hata mimi polisi wanamlea vibaya

USSR
Wako km makahaba wanajipendekeza bdae lawama, anaweza kupotezwa na maisha yakaendelea. Wapi Mdude, OCD anasubiri maelekezo toka juu, wacha alilie wembe anafikiri hao wananchi watamsaidia. Bure kabisa!
 
Ulisikia alicho ambiwa?
Maana ya kuwa 'matured' ni nini, kusikiliza upumbavu?
Mkuu usijishushe heshima ako.
Si wanasema polisi wamefeli shule
Tufanye wamefeli ni wajinga.
Heche hajafeli means ni mwerevu
Awajibu kierevu.
 
We nawe ni zombie, huyo lofa wanamlia timing, halafu umsaidie. Acheni ulofa endesheni siasa km watu wazima wenye akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…