Heche aliamuru walinzi wake katili wamteke Sigrada Mligo but wakaishia kumpiga na kumuumiza vibaya sana.Vip anayesema watu kutekwa na kuuwawa ni drama.
OOoooh! Naona tayari unavyo kila aina ya vipimo. Sasa baada ya vipimo vya u-mature', unageukia kwenye vile vya "heshima"?Mkuu usijishushe heshima ako.
Si wanasema polisi wamefeli shule
Tufanye wamefeli ni wajinga.
Heche hajafeli means ni mwerevu
Awajibu kierevu.
Mimi ni "Mtoto wa Shule" na sio 'mtoto wa shule'. Rekebisha hapo kwanza ndio nikujibu!lakini wewe mtoto wa shule humu kwenye majukwaa ya baba zako unatafuta nini
BAWACHA wachoma vitenge kumbe mpo pia?UWT tulieni wajinga wakubwa nyie
Inawezekana pia Heche ndo aliwaagiza askari wawakamte na kuwapiga wananchi pale kisutu sio?Heche aliamuru walinzi wake katili wamteke Sigrada Mligo but wakaishia kumpiga na kumuumiza vibaya sana.
huenda anahusika na matukio mengine ya utekaji kwasababu nadhani ni mzoefu
Ahahahahaha! Ben Saanane HAJULIKANI mwaka wa tisa, Lissu yupo jela na Mdude haonekani na umeufyata tu eti ndio ukinukishe Heche akienda mochwari ? PUMBAVU wewe!!!!Wakati Heche akiwa mochwari sisi tungekuwa tuko na wewe kuzimu tunakulomba
ona sasa mtoto usivyo na adabu, unabishana na wazazi wakoMimi ni "Mtoto wa Shule" na sio 'mtoto wa shule'. Rekebisha hapo kwanza ndio nikujibu!
Kaa kwa password utamiaBAWACHA wachoma vitenge kumbe mpo pia?
Kwanini MASAWE ka like hii post?fikra zangu zinaniwazisha mbali sana!Ningelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
Chuoni kuna somo la matusi lengo kuwakomaza askari bila hivyo wangekuwa wanaua sana watu wakitukanwaNingelikuwa mimi ndio huyo OCD, Heche angelikuwa mochwari sasa hivi!
ni muhimu kua huru kwenye nchi huru na kuepuka kuishi kwa ramliKaa kwa password utamia
Kama kunyamazia ujinga ndio kupewa nchi ni bora wasipewe lakini waseme ukweli panapostahili.Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Wajinga wanzako wanateka kila sikuni muhimu kua huru kwenye nchi huru na kuepuka kuishi kwa ramli
Binafsi sijasema wanyamaze.Kama kunyamazia ujinga ndio kupewa nchi ni bora wasipewe lakini waseme ukweli panapostahili.
Na kwanini wewe unafuatilia nani ka like? Hii inanifanya niamini kuwa Heche kaupata ujumbe wangu.Kwanini MASAWE ka like hii post?fikra zangu zinaniwazisha mbali sana!
BAVICHA wanajiengu live muda huu, BAWACHA lini?Wajinga wanzako wanateka kila siku
Muda ni mwalimu mzuri. Mandela alikaa jela miaka mingapi?Ahahahahaha! Ben Saanane HAJULIKANI mwaka wa tisa, Lissu yupo jela na Mdude haonekani na umeufyata tu eti ndio ukinukishe Heche akienda mochwari ? PUMBAVU wewe!!!!
Uliwahi kuona popote "ETHICS" zinazohusiana na kuteka watu, kuwaumiza au kuwaua?Neno Ethics unalielewa lakini?
Mkiambiwa ukweli mnatoa povu, acheni mikutano ya wapinzani bila sababu au hamjui ni haki ya watu kukusanyika, watu wamechoka na watekaji na wauaji piaKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!