Ungejua kuwa ccm hamna kitisho kipya usingeandika huu uharo wako unaotoka ndani ya fuvu lako.Kwanza Heche atakamatwa Kwa uchochezi wa uvunjifu wa Amani, vijana jipelekeni kimbelembele muone. Ila musijali tutawaundia tume ya uchunguzi na usuluhishi.
Kwa mtazamo wangu Chadema ya Mbowe ilikuwa na ari zaidi ya hii ya sasa. Hata wakati Mbowe amewekwa ndani waliendelea kupambana. Inawezekana kuwa ile ilikuwa zaidi ya ground wakati hii ya sasa ni ya matandao, wasomi n.k.Inatakiwa sasa hiyo "ari" ionekane.
Hilo kundi ndani ya chama hicho, kama lipo, limepoa sana wakati huu. Heri hata lile la wanawake. Wamepigwa mabomu ya machozi; lakini wameonyesha kuwa wapo.
Humu JF ni kama hao vijana wanawaogopa sana akina Mshamba na vilaza wengine waliokuja humu kuvuruga mijadala.
Kuna tatizo; pengine linalotokana na uongozi wa kundi hilo, au msukumo ndani ya chama kulisimamia na kuwa mbele ya chama chao.
Wewe tazama mada kama hii inakosa uchangiaji wa kutosha. Kuna tatizo gani?
Adhabu kwa kosa gani?Please, kama serikali ikitaka kumpa adhabu, Tundu Lissu...imetosha sasa! Aachwe huru sasa aendelee na maisha yake.
Haya sawa😎Nimefurahishwa kuitwa kibwengo
Ni kweli Nilikuwa nje ya Nchi kwa muda, hata hivyo kupigwa pini kwa jf kulitikisa kidogo mtandao , unajua lengo letu la kuandika humu ni kufundisha wajinga ili wajue haki zao, sasa masikini Wengi wa ccm ambaol tuliwalenga hawaingii jfKiungo muhimu wa chama na JF umebaki wewe na hawa wachache wanaoweka maswala ya chama na viongozi wao; kama huyu 'Waufukweni'.
Lakini siku za karibuni, ukaribu wako na yanayoendelea huko kwenye chama hauonekani sana; pengine kwa sababu zilizopo zinazokibana chama.
Kampeni hii, jipange vizuri.
Kabisaaaa,kwa mwali kuliwe na kwa kungwi kuliwe. Wakiua 100 wa kwetu tunaua mia mbili wa kwao, hatutachagua rika hadi watoto wao wadogo tutapita nao.Vijana wana ari kubwa n.a. safari hiyo hawatokubali tena kufa kibwege, Vifo vitakuwa vya pande zote
Nani huyo wa kuacha mishe zake kahangaikie Wanasiasa? Labda kama hajitambuiMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.
Akizungumza leo Aprili 9, 2026, kupitia baraza la kidijitali, John Heche amesisitiza kuwa muda wa kulalamika chini kwa chini umekwisha na sasa ni wakati wa kuchukua hatua madhubuti za kitaifa.
Kiongozi huyo amewataka vijana wanaodai kuunga mkono harakati hizo kuacha kusemea pembeni, badala yake waanzishe kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii na mitaani.
Ameelekeza kuandikwa na kubandikwa kwa vipeperushi kila kona ya mtaa ili kuonyesha mshikamano kwa Lissu ambaye amekaa ndani kwa mwaka mzima kwa tuhuma za uhaini. Jambo hili John Heche ameliita kuwa ni kumvua haki kiongozi huyo aliyekuwa akiwapigania wananchi bila kuwa na hatia yoyote.
John Heche amebainisha kuwa kampeni hiyo inalenga kumpa Lissu nguvu na imani kuwa watu anaowapigania ni sahihi na wako naye. Hata hivyo, ametoa onyo kali kuwa iwapo sauti yao haitasikilizwa kupitia kampeni hiyo, basi CHADEMA wataanzisha maandamano makubwa nchi nzima. Amesisitiza kuwa hawawezi kuendelea kukaa kimya wakati kiongozi wao akiteseka gerezani kwa mwaka mzima, akiamini kuwa ni lazima nchi itikisike ili haki itendeke.
Free Tundu Antiphas LissuMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.
Akizungumza leo Aprili 9, 2026, kupitia baraza la kidijitali, John Heche amesisitiza kuwa muda wa kulalamika chini kwa chini umekwisha na sasa ni wakati wa kuchukua hatua madhubuti za kitaifa.
Kiongozi huyo amewataka vijana wanaodai kuunga mkono harakati hizo kuacha kusemea pembeni, badala yake waanzishe kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii na mitaani.
Ameelekeza kuandikwa na kubandikwa kwa vipeperushi kila kona ya mtaa ili kuonyesha mshikamano kwa Lissu ambaye amekaa ndani kwa mwaka mzima kwa tuhuma za uhaini. Jambo hili John Heche ameliita kuwa ni kumvua haki kiongozi huyo aliyekuwa akiwapigania wananchi bila kuwa na hatia yoyote.
John Heche amebainisha kuwa kampeni hiyo inalenga kumpa Lissu nguvu na imani kuwa watu anaowapigania ni sahihi na wako naye. Hata hivyo, ametoa onyo kali kuwa iwapo sauti yao haitasikilizwa kupitia kampeni hiyo, basi CHADEMA wataanzisha maandamano makubwa nchi nzima. Amesisitiza kuwa hawawezi kuendelea kukaa kimya wakati kiongozi wao akiteseka gerezani kwa mwaka mzima, akiamini kuwa ni lazima nchi itikisike ili haki itendeke.
Joyce Mukya upo? Umeadimika sana dada mkubwa usingizi wa Sultan Mbowe.Ko Lissu kashindwa kujipambania kwa ujuaji mwingi wa sheria?? 🤣🤣🤣
Nchi nzima imeunga mkonoNani huyo wa kuacha mishe zake kahangaikie Wanasiasa? Labda kama hajitambui
Keyboard warrior kwenye ubora wako. Una pigo za kingese sana wewe.Kabisaaaa,kwa mwali kuliwe na kwa kungwi kuliwe. Wakiua 100 wa kwetu tunaua mia mbili wa kwao, hatutachagua rika hadi watoto wao wadogo tutapita nao.